Kosa lililofanywa hapa ni shtaka alilofunguliwa zombe, nafikiri waliamua kumsaidia , maana wanajua hakuwa eneo la tukio, sio rahisi kupatikana na hatia ya mauaji, wangetaka atiwe hatiani wangemfungulia shtaka la kuficha wahalifu tokea mwanzo na hoja zao wangezipeleka huko, hakika angetiwa...