Siri nzito ya Zombe na Bageni

Hakika nimesononeka moyoni hii kesi nilikuaga naisikia nikiwa bado sijielewi kivile dah anyway Mungu tuhurumie wanadamu tumekua na roho mbaya kizidi hata ibilisi!!!
 
Wajifunze Askari wengine huku mtaani unashindwa kutofautisha na wavuta bangi au vibaka,Askari anavaa Mzura kichwani mchafu,Jeans chafu halafu anavuta Sigara mdomoni,Halafu ndiyo anakuja kwenye baa anakukamata kwanini unakunywa pombe muda wa kazi,Nikawachallenge nikawaambiaa mimi nafanya kazi za shift hiyo siku nipo off wakataka niwape hela nikagoma wakaniachia
 
Watu ambao wangekutwa na hatia moja kwa moja ni yule aliyetoa amri na alitekeleza. hao wengine wangeshtakiwa kwa makosa ya kuficha mauaji, aliyetelezwa alitoroka na hadi leo hajapatikana, nao ni utata mtupu.

Kwa kutapatapa kwao na damu za marehemu wasio na hatia ilibidi hao vigogo wamtoroshe mtekelezaji wa mauaji wakidhani judge atawaacha huru kwa kukosekana aliewafyatulia risasi.Nadhani hata kwenye utetezi wake mahakamani hakuacha kumwambia au kumuuliza mwendesha mashtaka kua hivi inaingia akilini kiongozi wako akuamuru kuua nawe utekeleze huku ukijua ni kinyume na sheria za Mungu,nchi na hata jeahi letu la polisi?Sisi hatuelewi kilichomkuta huyo mpiga risasi mara baada ya tukio lile.Nani anaeweza kuthibitisha kama yupo hai au la haswa baada ya kukalizika lile zoezi?Damu ya mtu ni nzito kiasi hata majambazi kwake kuua ni kama akiona unataka kuhatarisha uhai wake yeye vinginevyo huambizana kabisa usiue katika tukio lolote kama itakuwepo njia mbadala.Sasa Zombe kupona kesi hii mara mbili anajiona ataishi kwa raha?Sasa familia za vijana waliouliwa zinaidai serikali iwalipe fidia kwa vijana wao waliouwawa bila makosa na vyombo vya serikali.
 
Hakika nimesononeka moyoni hii kesi nilikuaga naisikia nikiwa bado sijielewi kivile dah anyway Mungu tuhurumie wanadamu tumekua na roho mbaya kizidi hata ibilisi!!!

Same here, niliisomaga nikiwa mdogo, sikumbuki details sana ila nakumbuka nilimuhisi Zombe is guilty. Leo ndio nimeuelewa mkanda mzima. Damu isiyo na hatia noma sana
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hatujui kwa kweli, inawezekana amefichwa, au aliuawa, mnakumbuka mmoja alikuwa anasema ukweli, jina lake Rashid Lema, ghafla akapatwa na ugonjwa wa ngozi kuputika hadi akafariki kabla hajatoa ushahidi wake
 
Yaaani hawa jamaa waliua na bado wakazidi kuua tena washiriki wenzi wao?
Kweli hawa ni wauaji haswaa.
 
Zombe!! Period na alipewa mgawo!
Hivi ni unyama? Au ni ushetani binadamu mwenye dhamana ya kulinda raia na mali zake kudiriki kukatiza uhai wa watu watatu wasio na hatia kwa mgawo wa sh m.5! Naomba kabla hajanyongwa mali zake ziuzwe wapewe ndugu tegemezi wa marehemu husika ndipo ashike njia ya kwenda huko alikoelekezwa na mahakama.
 
Ukifuatilia huu ushahidi vizuri Bageni alihusika moja kwa moja kama mtekelezaji wa mauaji kwa kutoa amri. Yule aliyekuwa anaongea naye kwenye simu katika eneo la tukio bila shaka ni mkubwa wake wa kazi.

Kama Bageni ni Kamanda wa upelelezi Wilaya ya Kinondoni bila shaka mkubwa wake ni Kamanda wa upelelezi Mkoa au Taifa. Nani huyo?.........
That's a million dollar question.
Na sijui ni kwa vipi walishindwa kupata taarifa za simu za mtuhumiwa ili kubaini ni namba gani hasa alikuwa anaongea nayo!!!
 
Ukifuatilia huu ushahidi vizuri Bageni alihusika moja kwa moja kama mtekelezaji wa mauaji kwa kutoa amri. Yule aliyekuwa anaongea naye kwenye simu katika eneo la tukio bila shaka ni mkubwa wake wa kazi.

Kama Bageni ni Kamanda wa upelelezi Wilaya ya Kinondoni bila shaka mkubwa wake ni Kamanda wa upelelezi Mkoa au Taifa. Nani huyo?.........
Jibu hapo ni rushwa katika ubora wake,hao wakina Bageni wamechezewa na mkubwa wao ambaye network yake Ya kipolisi isingeweza kutoka hayo mawasiliano kuisaidia mahakama.
 
Hivi kweli katika mazingira kama haya ambapo taasisi ya serikali kupitia watendaji wake sampuli ya akina Zombie na Bageni wanapokuwa wamesababisha mauaji ya watu wasio na hatia wanafamilia hawawezi kudai fidia kutoka serikalini? Wataalamu wa sheria hebu tupeni elimu hapa.
mke wa jenerali kombe nasikia alilipwa pesa mingi sana.... inatakiwa wamfuate awape a,b,c
 
Back
Top Bottom