ila ukikutana naye live ni kama kachanganyikiwa fulani hivi
Dhambi ya kupatiliza inamsumbuaila ukikutana naye live ni kama kachanganyikiwa fulani hivi
Bageni ni shetani maana kuua viumbe wa mungu ni shetani tu anaweza kufanya hivyoshetani wa kwanza ndio nani?
Kwenye issue yao kwani walikuwa wafukuza majambazi? Walikuwa wanaiba PESA za RAIA na hiyo michezo wanaifanya sana tu
absolutely true!Karma is a bitch. Kamwe hawez kubaki salama. The things he did will haunt him for the rest of his life. Kakwepa jela ila hawez kukwepa kisasi cha Mungu.
msitu wa pande ni pale ilipo law school kwa sasa ambapo lilikua poli kuanzia stend ile mpya mawasiliano hostel mpya zinazojengwa za udsm kwa kifupi lile lilikua eneo la posta na simu enzi izo mpaka huku mkapa foundation
Balali huwezi kumfananisha nahuyu mNUKA VUMBI lazima atatumbukia kwenye kitanzi tu Believe me...na Jana ndio picha yake ya mwisho kitaa ataishi ngome hadi siku walume wakiamu kumaliza kazi wapuuzi hawa wanatia watu umaskini na uKIWA wa lazima sababu ya Tamaa ya pesaisije ikawa zuga....maana moja ya watu ambao hawaamin kama Balali alikufa ni mm....sasa asje akasafir kwenda kuish huko vietnam af tunaambiwa kanyongwaa....tuoneshwe LIVE
Ndugu yangu Sheria ni Fani yakucheza na Maneno so Inategemea unajipangaje ukiwa Mahakamani na ujue KESI yakuua hadi utiewe Hatiani kuna vitu Vingi wanazingatiaHii hukumu bado naendelea kuiona ni ya ajabu.. Sielewi pamoja na maelezo ya shahidi lakini anaekutwa na hatia ni mmoja tu.. Hakuna hata accomplice aliekutwa na hatia jamani..? Wanasheria waliomo humu naomba wanisaidie kunielewesha labda ntaelewa..
Ndio maana nimemwambia jamaa humu Fani ya Sheria nikucheza na Maneno inategemea kesi umeipangajeKosa lililofanywa hapa ni shtaka alilofunguliwa zombe, nafikiri waliamua kumsaidia , maana wanajua hakuwa eneo la tukio, sio rahisi kupatikana na hatia ya mauaji, wangetaka atiwe hatiani wangemfungulia shtaka la kuficha wahalifu tokea mwanzo na hoja zao wangezipeleka huko, hakika angetiwa hatiani, lakini kwa kwenda mbali zaidi wangeweza kufuatilia mazungumzo aliyokuwa nayafanya bageni kwa simu.
Shangaa hapo!Hivi million 5 zinakushawishi kuua watu??? I'm very confused!!
Maskini jamani. i hope Mungu amewasimamia wako vizuri sasa. yaani nimetokwa machozi jamani. yaani uskie baba yako kauwawa! duh, ni miongoni mwa vitu vitakavyobaki vichwani mwao for as long as they liveWatoto wa waliouawa hao kina Chigumbi ndio kwanza walikuwa wamewasili Form One 08/01/2006 baada ya siku chache parade tukaambiwa hicho kisa
Walilia sana
a ni miongoni mwa walioishi kama malaika, sasa acha wajue shetani anaishije.....tena asinyongwe haraka, akae kwanza huko kifungoni with no contact from outside world alafu akidhani keshazoea hiyo hali ndo apewe tarehe ya kunyongwa, hiyo tarehe iwe ni a year later just to torture him moreshetani wa kwanza ndio nani?