Vigezo gani hutumika kumuita mtu Mtakatifu?

Vigezo gani hutumika kumuita mtu Mtakatifu?

Bonge la Mchemsho.... thats why Dini yenu ndio ovyo kuliko zote... na yenyewe ndio inaamua na sio maandiko thats why mnakula nguluwe na masanamu chungu nzima how come maandiko yakataze and wewe usiye na mamlaka yeyote ya maamuzi kama mnavyomtukuza mungu wenu na Master wenu Yesu... alipoishi Duniani hakuyafanya hata moja yenu... The Biblia imekataza haswa kuyatumikia masanamu na kuyachonga pia nyie ndio nguzo yenu kuu hayo yaliyokatazwa... Katolik yeyote hana uwezo wa kuambiana ukweli hukusu dini kwani ilishawekwa Sheria za kisiasa na dini za mungu jua yaani papa ndio anaamua chochote mkililia muwe mnakula kungulu basi akiamua yeye ndio inakuwa hivyo vifungu vya bible vinabadilishwa faster inakuwa halal...

Mifano yako hata mtto hawezi itumia... ati huwezi elewa bila mifano wewe ni mhindu? au Buddha? na kwanza hamna utofauti... ndio maana unamuingiza Magufuli bila sababu ila kwa Katoliki hamchelewi kumuita Mtakatifu... Waisrael walijitengenezea hayo masanamu wakatupwa na kufa kama historia inavyosema... Yaani Unaumba and then unaabudu...
Mlaleo.

Jiepushe na mabishano ya Dini.
 
Mtakatifu ni mwenyezi mungu wa Haki tu huo ndo ukwel na utabaki kuwa hivyo hakuna wa kubadilisha
 
sikuanzisha huu uzi kwa minajili ya kubishania dini bali nataka kujifjza vitu kadhaa...kuna vinabo flani naona mmevamia uzi na kuaribu mtiririko mzima wa maelezo niliyokua nayataka.
 
Ilo swali mkuu huwezi kamwe kujibu hapa, sababu.
1. Nirefu mnoo
2. Wakatoliki pekee ndio wanaamini kwaivo nikisema kitu hapa italeta mjadala usio na maana.
3. Usahihi wa hili jambo kwa kanisa anatakiwa kasisi ndio aeleze ili kuepuka kupotosha( order)
4. Hata nikieleza hutoelewa maana kuna vitu ni vya dini mnoo.
5. Kama sio mkatoliki itakupotezea muda maana hutoamini zaidi utatuonesha umahiri wako wa kujenga hoja dhidi ya Kanisa moja takatifu katoliki la Mitume.

Nawasilisha.
Unajua kaka kunatofauti kati ya kusoma hoja na kujibu na kuelewa hoja.Mimi sijasema najibu swali lako.Mimi nimesema nitajibu upande wa Pili.Ulitakiwa kwanza ujue upande wa pili ni upi nilioukusudia.
 
Kumtangaza mtu kuwa mtakatifu ni mchakato unaotumia rasilimali nyingi ndio maana Africa wenye vigezo vya kuwa watafatifu ni wengi lakini hawatangazwi kwa kukosa rasilimali za kufanya utafiti. Kwa sasa tunao Mashahidi wa Uganda.
 
Mwenye elimu kuhusu mada achangie, asiyejua asome kupata uelewa, Michango ya matusi isipewe nafasi maana Wakristo, Waislamu, Wasiokuwa na Dini wote ni watoto wa Mungu na kwake tutarejea.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Kumtangaza mtu kuwa mtakatifu ni mchakato unaotumia rasilimali nyingi ndio maana Africa wenye vigezo vya kuwa watafatifu ni wengi lakini hawatangazwi kwa kukosa rasilimali za kufanya utafiti. Kwa sasa tunao Mashahidi wa Uganda.
Nakubaliana na wewe kama hujui mada tafadhali usichangie utakuwa unaonyesha upumbavu wako kwa kusema kitu usichokijua
 
1.Je binadamu ana mamlaka ya kumtunuku utakatifu binadamu mwenzake?

2.vigezo gani huzingatiwa mpaka mtu apewe utakatifu?
3.Utakatifu wa mwanadamu unapimwaje?

4.endapo mtu anatunukiwa utakatifu na binadamu wenzake halafu kumbe mtu huyo ni chukizo mbele za Mungu hapa inakuaje?
Mambo ya wakatoliki waachie wao wewe fuata uliyifundishwa
 
Bonge la Mchemsho.... thats why Dini yenu ndio ovyo kuliko zote... na yenyewe ndio inaamua na sio maandiko thats why mnakula nguluwe na masanamu chungu nzima how come maandiko yakataze and wewe usiye na mamlaka yeyote ya maamuzi kama mnavyomtukuza mungu wenu na Master wenu Yesu... alipoishi Duniani hakuyafanya hata moja yenu... The Biblia imekataza haswa kuyatumikia masanamu na kuyachonga pia nyie ndio nguzo yenu kuu hayo yaliyokatazwa... Katolik yeyote hana uwezo wa kuambiana ukweli hukusu dini kwani ilishawekwa Sheria za kisiasa na dini za mungu jua yaani papa ndio anaamua chochote mkililia muwe mnakula kungulu basi akiamua yeye ndio inakuwa hivyo vifungu vya bible vinabadilishwa faster inakuwa halal...

Mifano yako hata mtto hawezi itumia... ati huwezi elewa bila mifano wewe ni mhindu? au Buddha? na kwanza hamna utofauti... ndio maana unamuingiza Magufuli bila sababu ila kwa Katoliki hamchelewi kumuita Mtakatifu... Waisrael walijitengenezea hayo masanamu wakatupwa na kufa kama historia inavyosema... Yaani Unaumba and then unaabudu...
Hakuna mkristo anaejielewa au mcha Mungu yeyote anaweza kutumia lugha uliyotumia hapa.
 
1.Je binadamu ana mamlaka ya kumtunuku utakatifu binadamu mwenzake?

2.vigezo gani huzingatiwa mpaka mtu apewe utakatifu?
3.Utakatifu wa mwanadamu unapimwaje?

4.endapo mtu anatunukiwa utakatifu na binadamu wenzake halafu kumbe mtu huyo ni chukizo mbele za Mungu hapa inakuaje?
Swali no. Moja lilitakiwa kuwa UTAKATIFU NI NINI
 
Ni somo pana mnoo, Kama sio mkatoliki huwezi kuelewa wala kuamini.

Ushauri: Kama sio mkatoliki haikusaidii maana huto kaa uelewe.
Hii elimu yenu ya kipuuzi sana yani MTU haelewi hadi awe mkatoliki, kweli?????
 
kwa hali ya sasa nadhani huwezi pinga kama JK ni mtukufu
 
Rejea ushauri niliotoa kwa muanzisha Uzi.

Kama sio mkatoliki huwezi kuelewa, kuamini na haitokusaidia hata ukibisha.
cha kufanya toa majibu na Ushauri;
suala mtu kutokuwa mkatoliki sioni kama lina mantiki hapo,
sababu inawezekana anataka kuwa mkatoliki, maana halisi ya kueneza injili ni kuwapata waliopotea, mpe maelezo akielewa ahamie.
 
Sanamu ni sanaa na maandiko ni sanaa, yote yanabeba ujumbe , kwa hiyo mtu anayeshika biblia ambayo ni karatasi na wino akasoma anapata ujumbe, lakini pia anayeona picha au sanamu nae anapata ujumbe, kinachotakiwa ni mtu kupata ujumbe na kuamini na sio kuamini au kuabudu media iliyotumika kufikisha ujumbe.
 
Swali juu ya Maswali??😳

Kama Binadamu hana uwezo wa Kumtunuku Mwenzake Utakatifu...how come wakati Binadamu huyo huyo kampa mwingine hadhi ya Umungu... Maana hapo Mwanzo Binadamu aliumba Mbungu... Biblia zenu zinaeleza vizuri tu ukisoma hadithi za Mussa
Nadhani mlaleo umekula mavi ya nguruwe au mbwa!nadhani pia ubongo wako una funza
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Si ukamuulize Katekista?
Kama si mkatoliki haikukupasa kuuliza kwani mambo yasiyo kuhusu yatakupoteza muda wa kuamini unachoamini.
Mkuu Makatekista wanafaa kwa ajili ya maswali yanayohusu "Misingi ya Imani Katoliki" kama vile kujua amri za Mungu,Amri zile za Kanisa,Ibada ya Neno,Ibada ya Ekaristi,Misa,Kuijua katekisimu ya Jimbo Mahalia na zile sala kuu kama Baba Yetu,Salamu Maria,Atukuzwe,Nasadiki,Kanuni ya Imani,Sala ya Mapendo,Matumaini,Imani na ile ya Majuto.Haya mambo ndio level za Makatekista kwa sbb inafundishwa ktk "Katekisimu Ya Kanisa Katoliki"

Haya mambo ya "Utakatifu",Mambo ya "Annunciatus" nakadhalika...Ni mambo ya Kiteolojia zaidi,level nyingine kabisa katika Elimu ya Kiteolojia ndani ya Kanisa Katoliki.Kwa Katekista unamtwisha mzigo wa kuwalisha watu matango pori.Jambo kama hili haliitaji "bla bla" kwenye kumuelezea mtu,Bali mifano na hoja zenye mashiko.

Tafadhali arejeee kwa Padre au Shemasi yoyote aliye ktk mwaka wa kusubiri daraja lake.Makatekista ni muundo wa kanisa ulioahamasishwa Afrika ili kuwapa Wamisionari urahisi wa kupenya kwenye maeneo ya ndani ya vijiji ambapo walihitaji mkazi mahalia ili kuifikisha Injili....

Si ajabu Makatekista wengi huwa "wanoko" sana na "baiskeli" zao za kuendea Vigangoni.
 
Back
Top Bottom