Recent content by kade030

  1. kade030

    kiwanja kinahitajika Morogoro

    twa twa twa na safari nimewaPM hapo ili tusaidiane kidogo... Kaka Eli samahani kwa kuvamia jukwaa lako... Araway nimeshachukua namba hiyo ngoja nimtafute...
  2. kade030

    kiwanja kinahitajika Morogoro

    Ni mimi nahitaji hizo taarifa muhimu wazee
  3. kade030

    Kadhia ya VODACOM na Utaifa wetu: LUNDENGA Kufungwa Kengele Rasmi

    Wa kulaumiwa ni Lino agency wala c vodacom. Lakini dhambi hii ni kubwa mno..!
  4. kade030

    Kuua waandamanaji kuwekwa kwenye sheria ya maandamano.

    Serikali imepania kutunga sheria ya maandamano. Mimi hoja yangu si kujadili sheria hii mpya ambayo wanaJF mlishaijadili. Mimi nawasilisha hoja mpya au kifungu kidogo cha hoja. Huu ni wakati muhimu wa kudhibiti mauaji katika maandamano. Kama kweli muswada utafanikiwa kupelekwa bungeni basi...
  5. kade030

    BAE systems ni wezi na wameshathibitishwa na mahakama wasipewe pesa zetu wazigawe

    BAE nao pia ni wezi tuu kama our tainted tz gov. Mi nadhani kama wanataka kuwapa NGO then fedha wapewe serikali ya uingereza halafu wao ndio waratibu huo ugawaji. La sivyo kwa hiyo E-mail BAE systems wanaenda Bar kunywa vodka kazi ishaisha.. mkono huu unatoa halafu unapokea na mwingine. Basi
  6. kade030

    Kampeni Kupinga 'chenji' ya fedha za Radar wasipewe tena Serikali

    BAE nao pia ni wezi tuu kama our tainted tz gov. Mi nadhani kama wanataka kuwapa NGO then fedha wapewe serikali ya uingereza halafu wao ndio waratibu huo ugawaji. La sivyo kwa hiyo E-mail BAE systems wanaenda Bar kunywa vodka kazi ishaisha.. mkono huu unatoa halafu unapokea na mwingine. Basi
  7. kade030

    Mukama resigns as TSN Board Chairman

    hahhaaa gazeti la uhuru na habari leo?? hahahahahahahaha
  8. kade030

    Je Mbowe amemkaanga Dr. Slaa?

    SLAA level ya raisi yule na zaidi... kumlipa mshahara kama mbunge wa kawaida ni kumdhalilisha kabisa... Apewe posho za maana azunguke nchi nzima ili magamba yawe rehani 2015... Naomba Slaa apewe zaidi mahela ili magamba yawekwe rehani zaidi na zaidi...
  9. kade030

    Vijana CHADEMA kupigwa msasa Ujerumani

    ecoli inauma eeeh?
  10. kade030

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    YEYE serikali?? Kama yeye afanye hivyo je CCM walipoingiza magari 700 ya uchaguzi walilipa kodi?
  11. kade030

    Heche na Nape katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha star tv

    Hakuna kitu kama hicho... ILANI YA CHADEMA 2005 Ndio imeeleza kufutwa kwa posho japo haikupewa kipaombele kama mwanzo... Halafu nimeona Eliesikia ndugu yangu kawa banned kwa kuongea ukweli kuhu Achebe...Nitarudi
  12. kade030

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Hivi huu upupu kaleta nani tena hapa... Maaa weee hebu toa uchafu huo... NonSense... Hivi msomi kabisa unakaa chini na kukataa taratibua za kudai Katiba mpaya yenye sheria mpya za vyama vingi???? NonSense Kama kuna mtu kabisa kafaulu form 6 bila kuiba mtihani??? Maana vijana wa siku hizi...
  13. kade030

    GE2010 Mbowe, Marando, Slaa, Zitto, Lissu, Mnyika

    Hahahaaa hoja yako kwa wansaikolojia tunaita so objective.. Yaani woga wa kimaendeleo... Unadhani itawakost kama wakisepa mkutano sio na JK... Lakini tutambue kuwa katiba ya nchi inamtambua raisi aliyechaguliwa na wananchi vinginevyo siye.... kwa hiyo CHADEMA wanaamini JK aliiba kwa hiyo kama...
  14. kade030

    CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    Kuasha mwanangu... Kafulila ni sisimizi.. Kule Kigoma NCCR inakubalika zaidi ya CHADEMA toka 2000 na 2005 sio tatizio.. Kuhusu Mhe. Zitto sio kweli kwa kuwa hata CHADEMA kiliwasaidia vijana wengi kugombea Zitto akiwa mmojawapo tena chini ya Mhe. Mbowe... Ni juzi tuu Zitto kaomba msamaha kuhusu...
Back
Top Bottom