kiwanja kinahitajika Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kiwanja kinahitajika Morogoro

Discussion in 'Matangazo madogo' started by eliesikia, Jan 25, 2012.

 1. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  wanajamii natafuta kiwanja morogoro mjini mtaa wowote iwe kihonda au bigwa au nanenane au kwingineko popote nikulishe...

  weka comment yako hapa kisha nitakuPM tufanye biashara.
  Kwa sasa sipo moro lakin mambo yakisawai narudi tufanye biashara
   
 2. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kiwanja kipo nane 8 ninja
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Nnacho kichangani
   
 4. araway

  araway JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  wasiliana na huyu mama alinipigia jana kunijulisha anauza kiwanja kipo kihonda 0654450830. unijulishe mambo yameendaje!
   
 5. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  aksanteni saana wakuu naomba mniPM namba zenu basi.
   
 6. kade030

  kade030 Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mimi nahitaji hizo taarifa muhimu wazee
   
 7. kade030

  kade030 Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  twa twa twa na safari nimewaPM hapo ili tusaidiane kidogo... Kaka Eli samahani kwa kuvamia jukwaa lako...
  Araway nimeshachukua namba hiyo ngoja nimtafute...
   
 8. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Hakuna neno kaka kade030. Mi nimepiga simu hiyo naona kama nashindwa vile na ukizingatia sipo morogoro nimeamua kutuliza munkari kwanza. Wengine naombeni mniPM hata bei basi

  Thanks
   
 9. Niconqx

  Niconqx Member

  #9
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 7, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wasiliana nami,0715951114
   
 10. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Kaka mbona namba yako sio kamili hapo?
   
 11. araway

  araway JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  nilikosea kidogo ni 0654450830
   
 12. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  poa kaka
   
 13. Beah

  Beah JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2015
  Joined: Feb 15, 2015
  Messages: 235
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Nina nyumba kubwa tuuh morogoro mjini pale tumbaku njia ya kwenda ujenzi ina vyumba sita na nyumba ndogo vitatu zote naziuza...kwa mawasiliano 0654939974
   
Loading...