Kuua waandamanaji kuwekwa kwenye sheria ya maandamano. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuua waandamanaji kuwekwa kwenye sheria ya maandamano.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kade030, Aug 4, 2011.

 1. kade030

  kade030 Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali imepania kutunga sheria ya maandamano. Mimi hoja yangu si kujadili sheria hii mpya ambayo wanaJF mlishaijadili.

  Mimi nawasilisha hoja mpya au kifungu kidogo cha hoja.
  Huu ni wakati muhimu wa kudhibiti mauaji katika maandamano. Kama kweli muswada utafanikiwa kupelekwa bungeni basi itamkwe wazi kuwa mamlaka au mtu atakayeamrisha mauaji ya waandamaji a/watachukuliwa hatua madhubuti. Na adhabu yake iwe kifo au kifungo cha maisha.

  Nawasilisha
   
Loading...