Chipoku
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 254
- 181
Hakuna kinachoendelea mkuu cdu ni cristian part ya ujerumani na cmd ni roman christian church part ya tanzania ! Cdm ni zaidi uijuavyo ktk hidden ajenda ! Wenye akili waliangalie hili kwa jicho la hekima sio kukurupuka ! Sisi wa kigoma tunalijua hili zaidi na chama iliyokuwa ya utaifa mbele !