"Jamani wadau naomba msaada, mana nimeangaika hadi nimechoka kutafuta kazi. Nina Ordinary Diploma in Accountancy GPA 4, Advance Diploma in Accountancy GPA 4.2. zote nimepiga IFM.
Nilipomaliza Advance mwaka 2009 niliunganisha kufanya masters ya Accounting and Finance toka Mzumbe University, and on the same time nikawa nafanya CPA.
CPA nilipass zote at 1st sitting na June mwaka jana nikawa nimeipata. Masters nina GPA 4.1, bado kudefend thesis tu. lakini wadau nimetafuta kazi tangu nilivyopata hiyo CPA hadi leo hola! Nisaidieni basi ndugu zangu!"
Jamani wadau, hiyo topic hapo juu niliyoibold niliiweka mwishoni mwa mwaka 2011 wakati huo nilikuwa sijakamata line. Nashukuru Mungu baada ya muda kidogo (baada ya kuandika hiyo mada) nilipata mchongo kama mhasibu kwenye shirika moja la kimataifa, na kwa muda mfupi tu nilipanda na kufikia cheo kizuri kilichinifanya nisahahu shida nilizozipata. Nilikaa na hilo shirika kwa muda wa kama miezi tisa hivi, nikawa nimepata kazi kupitia utumishi kama assistant lecturer kwenye chuo kimoja cha elimu ya juu cha umma.
Wakati napata nafasi hiyo ya assistant lecturer nilikuwa nimeshaandaa mipango ya scholarship ya PhD. Mipango ilikubari na sasa niko huku ughaibuni nagonga PhD(Finance).
Nawashukuru nyote mlionishauri kwa kipindi kile kigumu, pamoja na wale walionibeza. Mungu ni mwema, sikupita mlimani wala nini lakini leo nafanya PhD na nina kazi nzuri. Nashauri watu kuwa waache kubezana! Good Lucky