Recent content by kacherokachero

  1. K

    Hii Ndiyo sababu ya kuanguka kwa USSR

    Kichwa cha habari na maelezo kivyake. Historia ni taaluma
  2. K

    Hili likifanikiwa nitaipongeza TISS na Rais Magufuli

    Kila LA HERI JPM. Tumechezewa sana kama hao wajerumani walikuwa na wazo LA kutatua shida ya UMEME wangefangefanya hivyo kwani. Walifika na kututàwala mwaka 1884 hadi 1918 miaka 34,Leo hii ndoo wanakumbuka UMEME WA gesi.UMEME WA rufiji utajengwa na huo WA gesi tutajenga pia. VIVA Wajamaa WA Tanzania
  3. K

    Afrika kazi bado ipo, nimeshangaa kwamba Tanzania bado ni koloni la Ujerumani

    Hawa wazungu wababaishaji tu.wskati nchi inapata shida ya UMEME miaka ya karibuni binge lao halikukaa kutushsuri kujenga mfumo WA mkubwa WA UMEME WA gesi.Leo tunataka kuzalisha meg 2100 wanatoa mswazo .pigs chini mawazo yao .UMEME WA rufiji mbele kwa mbele TZ oyee
  4. K

    Hivi wanaume wenzangu mnawezaje ishi na mwanamke ambaye bila kumpetipeti wewe hakuna tendo la ndoa?

    Wanawake na wanaume ni viumbe WA ajabu.huenda tatizo likawa kwako na ukalihamishia kwa mwenza wako.nenda hospitali onana na wataalanu bobezi kujua kiini cha shida yenu kwa uwili wenu.
  5. K

    Arab Contractorss wakabidhiwa rasmi eneo la ujenzi wa mradi wla kufua umeme wa Stiegler.

    Mwanzo mzuri unapokuwa na vyanzo vya umeme na uwezo mkubwa.uhakika WS power inaboreshwa zaidi. Tupo tutaona mengi na kufaidi. Haya ulaya walienda kwa hatua hizi hizi
  6. K

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Hujatuambia unataka kujenga kijijini au mjini na unatumia materia utakayotumia yanaweza kutoa mwelekeo WS matokeo makubwa sasa
  7. K

    Nimepigiwa simu na mtu kutoka Voda kaniambia nimejishindia laki 1 na 10 anasema nitaje kiasi cha mpesa changu nitumiwe hizo pesa

    Utalizwa mida so mlefu,hao ndoo matapeli WA mtandao mwambie upo ngangari hiyo fedha achukue yeye. Pambafu sana huyo
  8. K

    Wakati US anachinja waislam Iraq na Libya tulichekelea kwamba ni magaidi walipuliwe tu, sasa zamu yetu Venezuela

    Marekani vamizi siyo ile ya enzi za akina Noriega WA panama au sadaam hussein au Gaddafi. Ndani ya Venezuela pamoja na upinzani uliopo bado na muundo WA utawala wa maduro kuwezesha uvamizi WA ghafula ni mdogo sana na ikitokea tutegemee vita ya muda mlefu kitu ambacho USA haitaki maana Hata...
  9. K

    Utunzaji wa magari

    Umepaki chini ya mwembe wskati WA mavuno Mara embe hiyo kioo pwaa.
  10. K

    Congo DRC yawasilisha ombi la kujiunga jumuiya ya Africa Mashariki.

    Sasa hivi tunaongelea Afrika kuungana na kuwa kitu kimoja.binafsi kadri nchi zinavyoomba kujiunga ni busara kuzingatia vipengere muhimu vya kuufanya au kuidumisha jumuhia hiyo idumu.hizi nchi za Kiafrika zinahitaji umoja kwenye nguvu na haki ndipo tutakapoweza kupambana kiuchumi na mataifa yenye...
  11. K

    Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

    Ukabila huo hautufikishi kokote kule Mimi nilidhani tutapewa orodha ya maprofesa WA TZ vs Kenya au Uganda.ebu tuongelee U TZ zaidi .ukiwa profeasa Mhaya au mkinga kiwe nini? Acha hizo za umimi.
  12. K

    Mamilioni ya wavenezuala "Chavistas" waandamana kuilaani Marekani na kumsapoti Rais Maduro

    Binafsi huyu USA ni janga LA dunia,Syria kashindwa kuweka puppets wakevanapiga hodi venezuela. viva maduro na wanavenezuela wote
  13. K

    Kwaheri Mpoki Ulisubisya, utakumbukwa kwa kushiriki kuokoa uhai wa Lissu Hospitali ya Mkoa wa Dodoma

    Fani ya udaktari haina mipaka. Najua alipokuwa Dodoma aliokoa wahanga wengi WA viwango tofauti kila siku
  14. K

    Kwa mtaji wa 25 million nifanye biashara gani?

    Unamwachisha kazi? hapana ungeanza biashara kwanza huku akiendelea na kazi then utaona nini kinafaa.biashara ya nafaka. Au uwakala WA miamala ya fedha mbalimbali.au internet cafe nk
Back
Top Bottom