Wakati US anachinja waislam Iraq na Libya tulichekelea kwamba ni magaidi walipuliwe tu, sasa zamu yetu Venezuela

Kuna mambo yanachekesha sana!!
Hivi Hezbollah watokee middle east mpaka southern America huko Venezuela wakatafute nini??.

Hezbollah wao wanapigana kwa ajili ya vitu hivi:
. uislamu
.uhuru wa Lebanon
. Kusaidia axis of resistance.

Hezbollah has nothing to do with Venezuela
Ndio maana niwataja Iran hizibullah na Syria maana naona huu mgogoro wameuingilia lkn hauna umuhimu kwao hata kidogo

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Acha uboya mkuu uyo jamaa anakula good time ikulu. wananchi wanakufa njaa na hataki kutoka wa nn acha mahaba wacha Venezuela iludi kama miaka 80s iwe Kama Dubai.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliefanya watu wafe njaa ni nani kama siye huyo US kwa kuwawekea ecobomic sanctions Venezuela ili maisha yawe magumu na wapate sababu ya kuanzisha vurugu za kumpindua? Are you really that ignorant au unjifanyisha?
 
Marekani vamizi siyo ile ya enzi za akina Noriega WA panama au sadaam hussein au Gaddafi. Ndani ya Venezuela pamoja na upinzani uliopo bado na muundo WA utawala wa maduro kuwezesha uvamizi WA ghafula ni mdogo sana na ikitokea tutegemee vita ya muda mlefu kitu ambacho USA haitaki maana Hata mafuta hayatapatikana.kirahisi
 
USA wana siasa mbaya sana ndio waharibfu wa hii dunia wao wana kila kitu wanauza wapi kama sio kuharibu nch za watu ila kwa mpumbavu asiejua siasa za uchumi hawez elewa kabisa na weng ni ushabiki tu USA yuko kwa INTEREST tu nasio democracy
 
UZI upo vizuri though sijaelewa ulipohusianisha UISLAM hapo? Hivi hua hakuna namna nyingine ya kufikiri nje ya KIDINI!?? Kwa msiojua, Iraq ya Saadam Hussein haikua ina mind mambo ya kidini hata kidogo, kwenye baraza lake la mawaziri hadi Wakristo walikuwepo, Tareck Azizi ( sina hakika kama nimepatia spellings zake) yule waziri wake wa mambo ya nchi za nje, alikuaga Mkristo wa madhehebu ya Orthodox if I am not mistaken. Iraq ya sasa hivi (nadhani hapa nyie waislamu mlipaswa muwapongeze Wamarekani) ndio sio salama kabisa kwa Wakristo
 
Back
Top Bottom