Hivi wanaume wenzangu mnawezaje ishi na mwanamke ambaye bila kumpetipeti wewe hakuna tendo la ndoa?

Naomba tu nilale ntajibu kukikucha, nimeingia tu ndani mtu kalala na kanga nimekuta anajigeuza cha kwanza ni kuweka kanga vizuri isimwache uchi sasa sijui anaogopa nani asimchungulie wakati sehemu tunayoishi hakuna yeyote anayeweza kuchungulia chumbani kwetu, huu ni uzandiki, lazima nitafute furaha ya moyo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ccm huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kuongea nae kwa kituo, umueleze yanayokusibu, mpate nafasi ya kuyajadili kwa pamoja naamini yatakwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Design kama hiyo wapo hivyo tu, ata ukimsema leo atazuga kwa siku 2 tatu basi. Halafu siyo kwamba hampendi jamaa au ana cheat lahasha. Haya mambo yanahitaji busara sana, wanawake wa hivyo wapo hivyo hadi kwenye maongezi siyo rahisi kuanzisha jambo anapenda mwanaume awe ana lead kila sehemu. Uzuri huwa watiifu sana na siyo wazuri kwenye kuongopa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba tu nilale ntajibu kukikucha, nimeingia tu ndani mtu kalala na kanga nimekuta anajigeuza cha kwanza ni kuweka kanga vizuri isimwache uchi sasa sijui anaogopa nani asimchungulie wakati sehemu tunayoishi hakuna yeyote anayeweza kuchungulia chumbani kwetu, huu ni uzandiki, lazima nitafute furaha ya moyo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kwenda mbali kimawazo binadam hatuko sawa huyo ndo alivyo si kwamba hana hisia na wewe ili mradi hakunyimi endelea nae tu hao wenye hisia kali utagongewa tu.
 
...
b2599ffb-c288-4328-ac97-9efcb543f3fe.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba tu nilale ntajibu kukikucha, nimeingia tu ndani mtu kalala na kanga nimekuta anajigeuza cha kwanza ni kuweka kanga vizuri isimwache uchi sasa sijui anaogopa nani asimchungulie wakati sehemu tunayoishi hakuna yeyote anayeweza kuchungulia chumbani kwetu, huu ni uzandiki, lazima nitafute furaha ya moyo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
je, umejaribu kuongea nae kumueleza kwa nini hayupo romantic?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom