Hii Ndiyo sababu ya kuanguka kwa USSR

Hii Ndiyo sababu ya kuanguka kwa USSR

zyogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
377
Reaction score
282
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisoma vijarida mbalimbali vikieleza namna Regan na utawala wake ilivokuwa mahili hata kuiangusha Soviet Union.
Katika miaka ya mwisho ya 60 kulitokea kutokuelewana kati ya tawala za Arabia na Uyahudi hata kupelekea vita(Yum kappur war)vita hii iliisha kwa aibu kubwa kwa Arabia maana walishindwa vibaya vitani licha ya umoja wao.Ushindi huu haukuja kwa bahati mbaya bali ni kwa jitihada kubwa za nchi za magharibi ikiongozwa na USA jambo hili halikuwa jema machoni pa Arabia,kwa umoja wao wakaweka vikwazo vya kutokuuza mafuta kwa nchi zoote zilizoshirikiana na Israel vitani.Maamuzi haya yalileta athari kuubwa sana za kiuchumi kwa nchi husika miaka ya 1969-1972.
Kwa mlango wa nyuma Us alianzisha mazungumzo na Saudi Arabia ya namna ya kumaliza hili jambo ikumbukwe kwamba Saudi Arabia ndiyo mwenye hazina kubwa pia kwa kipindi kile mzalishalishaji mkubwa wa "sweet Oil".
Kimsingi mgogoro uliisha kwa makubaliano haya;
1.Saudi Arabia auze mafuta kwa Us dollar.
2.Ziada ya mauzo ya mafuta inunue Treasury bond Us.
3.Falme ya Saudi Arabia italindwa na Us dhidi ya adui wa aina yoyote hasa Shia.
4.Us atamuuzia Saudia silaha ..pesa yake tu.
Opec haikuwa na jinsi ila kukubali kuuza mafuta kwa dolar.
Mwaka 1972 vikwazo vikasitishwa.
Jambo moja tu walikosea ..walizalisha mno mafuta hata bei yake kushuka sokoni.
Soviet walitegemea mafuta kama chazo kikubwa cha mapato licha ya kutokuwa mwanachama wa Opec naye aliuza mafuta kwa dolar.
Faida kubwa aliyopata aliwekeza katika siasa za kisoshalisti ambazo huduma muhimu kwa wananchi zilikuwa bure.Visima vya mafuta vinahitaji uwekezaji mkubwa katika matengenezo ambao Soviet hawakufanya,kwa namna ya soko,Soviet ilishindwa kutimiza matakwa ya wananchi kwa sababu walikuwa na mafuta kidogo tena yenye bei ndogo sokoni.Bajeti ya kuendesha nchi ikabana,rushwa na malalamiko ikatanda Soviet.hali hii ilifika kilele mwaka 1991 ambapo washiriki wa Union wakahisi kufanya vizuri nje ya muungano.
 
Sidhani Soviet unajua imeaangua kuanzia mwaka gani??Fatilia vizuri hayo majarida!
 
Ndio umemaliza ama kuna episode 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unadhani kitakacho iangusha USA siku moja ni mali?.. Usidanganywe Soviet iliangushwa kisa mafuta ndugu!..
Serikali/Muungano wowote ni watu!.
 
Umechooooka kihistoria mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asili za watu wa Soviet kipindi hicho ndio sababu, nchi zilizojitenga ziliamini zinautofauti dhidi ya wenzake mfano: Slovakia, Estonia, Ukraine nk. Ni kama makabira hivi ambayo wao walihisi hawapati kipaombele. Ni sawa leo hii Tanzania Mtwara ijitenge sababu hainufaiki na gesi, au Kagera kwa sababu hawathaminiwi na wametengwa.

Note: Ya USSR yatafika hata Tanzania.
 
Back
Top Bottom