Recent content by kaburi jeusi

  1. kaburi jeusi

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

    Kaka kula sana matango walau kwa sku 1 asubui kabla ya kula chochote ndani ya two weeks inakwisha hiyo
  2. kaburi jeusi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini husababisha hiki kitendo kwa wasichana

    Ana mtoto huyo
  3. kaburi jeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Lemi ongala MATIMILA ,narudi nyumbani.
  4. kaburi jeusi

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Wajerumani (Wakoloni) Tabora ndiyo ulikuwa (uwe) Mji Mkuu!

    Kumbe ndivyo hivyo mi nilonelea kwa utawla huu bora nchi ingejigawa tu, ianzie hapo hapo TABORA na kuelekea juu kaskazi na mikoa yake ingekua inchi na kusini mwa TABORA pia ingekua inchi maana sis watu wa pwani hatutaki shida.
  5. kaburi jeusi

    JamiiForums Tanzania Vijana msidanganyike!! CHADEMA haiwezi kuongoza nchi

    Wacha maneno hayo wewe ata kwa njia ya vilipuzi raisi Lazima ataoke democrasia
  6. kaburi jeusi

    JamiiForums Tanzania Kusoma na biashara kipi bora?

    Fanya biashara tu mkuu Canada utakayoipata ndio usomee kwa badae ili kuongeza maarfa ila usisome ukategemea ajira itakula kwako wenzako yupo tu kutwa kwenye mbao za matangazo kuangalia ajira.
  7. kaburi jeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitendo cha watu kulia harusini, tatizo ni nini?

    Kwa wanume wanalia majukumu ya pande zote mbili hasa ukweni kutoa mchango wa huduma za kimaisha
  8. kaburi jeusi

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu anapenda kula mananihii... Hii ikoje wadau!!

    Chizi hilo mrudishe mwanza ila pitia mielmbe pale dodoma apate tiba kwanza.
  9. kaburi jeusi

    JamiiForums Tanzania Ubunifu ama bange?

    Huyu wa shinyanga bila shaka
  10. kaburi jeusi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria

    Hiyo namba isevu pia hiyo sauti kaiweke kwenye CD kama kumbukumbu ikiwa ovyo itakua ushaidi pia nenda kafungue taarifa Polisi dhidi ya vitisho report book(RB)
  11. kaburi jeusi

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

    Rais wenu wa dar huyo anaye toa maamuzi ya mkoa na kubatilisha yawe ya nchi sis wa bara hatutaki kusikia habari zake
  12. kaburi jeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuna athari yoyote naweza pata nisipofanya mapenzi?

    Komaa tu afu hiyo ni nzuri kuepuka VVU.Maana kati ya mabinti 10 ,9 wote wamewaka take care.
  13. kaburi jeusi

    JamiiForums Tanzania Nitagombea nafasi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga

    Nafasi hiyo umemuona babu kwanza? Isije ikawa aleluya tutaonana mbinguni.
  14. kaburi jeusi

    JamiiForums Tanzania Nauza gari yangu Yoyota Raum no C

    Picha
  15. kaburi jeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

    MOHAMED YAHAYA(MY) unaibiwa hapo mkuu hiyo zuga fuatilia utaona mwisho wake
Back
Top Bottom