Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Wakati wa Utawala wa Wakoloni Wajerumani walikuwa na mpango wa kuhamisha Mji Mkuu wao ktk Dar kwenda Tabora, na sababu KUU waliyoitoa ndiyo ile ile Mwalimu Nyerere &Co. waliokuja kuitoa miaka mingi baadaye, ya kuhamishia Mji Mkuu Dodoma, Wajerumani waliamini kwamba Tabora iko kati kati mwa nchi, lkn jitihada zao zilikatishwa na Vita Kuu ya Dunia iliyoanza!
Hata Wakoloni Waingereza walivyokuja pia walitambua umuhimu wa Mji wa Tabora na kujenga Shule ya Tabora Boys/Girls ambayo ilikuwa modeled after Eton college ya Uingereza, na lengo lilikuwa ni kuelimisha maelite wa kesho, yaani Viongozi wa kuja kuongoza Tanzania ijayo na ndipo Mwalimu Nyerere na kundi lake walipotokea!
Sasa sijui kwa nini Tabora ikapotezewa na kuchaguliwa Dodoma, hata hivyo ni sehemu tu ya Historia na haina maana yoyote ile, leo hii, ...