Nauza gari yangu Yoyota Raum no C

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,390
Tafadhali sitaki madalali.
Gari haidaiwi,imelipiwa kila kitu
cc 1490
Ni ya 2001
km 128000
Bei 7m
Maongezi yao.
Hali ya gari-Nzima,bado naitumia hadi sasa.
Sababu.Nataka kununua nyingine
Aliye tayari anicheki inbox
 
Tafadhali sitaki madalali.
Gari haidaiwi,imelipiwa kila kitu
cc 1490
Ni ya 2001
km 128000
Bei 7
Maongezi yao.
Hali ya gari-Nzima,bado naitumia hadi sasa.
Sababu.Nataka kununua nyingine
Aliye tayari anicheki inbox
Mkuu malizia tangazo lako.Bei 7??
 
Nimepata shida ya kuweka picha. punde nitaweka ingawa kuna waliokwisha tumiwa kwa whatsap,wakinunua kabla ya kufanikisha kuingiza picha humu sitaweka.

asante
 
Tafadhali sitaki madalali.
Gari haidaiwi,imelipiwa kila kitu
cc 1490
Ni ya 2001
km 128000
Bei 7m
Maongezi yao.
Hali ya gari-Nzima,bado naitumia hadi sasa.
Sababu.Nataka kununua nyingine
Aliye tayari anicheki inbox
Hii YOYOTA inatengenezwa nchi gani kwanza tujue hili
 
Tafadhali sitaki madalali.
Gari haidaiwi,imelipiwa kila kitu
cc 1490
Ni ya 2001
km 128000
Bei 7m
Maongezi yao.
Hali ya gari-Nzima,bado naitumia hadi sasa.
Sababu.Nataka kununua nyingine
Aliye tayari anicheki inbox
Nmeku pm whatsap namba yangu unitumie picha hyo tuone Namna ya kuyajenga

Ova
 
Tafadhali sitaki madalali.
Gari haidaiwi,imelipiwa kila kitu
cc 1490
Ni ya 2001
km 128000
Bei 7m
Maongezi yao.
Hali ya gari-Nzima,bado naitumia hadi sasa.
Sababu.Nataka kununua nyingine
Aliye tayari anicheki inbox
Weka # yko ya sm tukupigie

Ova
 
Mbona bei kama ya kuagiza toka Japan? ukitaka biashara fasta anzia 3.2 milion hadi 4.5 milion, halafu millage nyingi hizo
 
Screenshot_20170312-140334.png
Screenshot_20170312-140351.png
Screenshot_20170312-140304.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom