Vijana msidanganyike!! CHADEMA haiwezi kuongoza nchi

salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
HUU NDIO UKWELI
 
Dah.... Chadema ilisepa kitambo sana na Dr W Slaa [emoji13] [emoji13]
 
Kwani hao ccm wameshushwa kutoka mbinguni? Ujinga ujinga tu ndo wenu, pumbaaav
 
Wacha maneno hayo wewe ata kwa njia ya vilipuzi raisi Lazima ataoke democrasia
 
HesabuKali Wafuasi wa mange kimambi utawajua tu
Bora ungekaa kimya tu. Kuendelea kuwa chama cha majambazi ni kuongeza umasikini tu.
KIONGOZ MKUBWA UNAFUTA AJIRA? UTAKUWA NA MAVI KICHWANI
NAICHUKIA SANA KIJANI. TENA MWENYEKIT WENU NIKIMUONA KWENY TV HUWA NATAPIKA KBSA. NABADILISHA NA CHANEL KABSA
ADUI WA MAENDELEO YETU
1. CCM (CHAMA CHA MAJAMBAZ)
2. UJINGA
3. MARADHI
4. UMASIKINI
BASHITE MKUBWA WW, KAFIE MBALI NA VYETI VYAKO FEKI. ETI CCM? HUWA SITAKI KUISIKIA KBSA TZ. HELSB 15%. Shenzy kbsa na double standard yenu ya kolomije
 
salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
kwani ccm aliwafundisha nani kuongoza nchi.Wata wauliza haohao
 
salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
[emoji121] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wapiga kura. Wasiwasi wa nini?
 
salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Ni kweli kwani sasa hivi ni zamu ya vichaa na wavuta bangi
 
Bora ungekaa kimya tu. Kuendelea kuwa chama cha majambazi ni kuongeza umasikini tu.
KIONGOZ MKUBWA UNAFUTA AJIRA? UTAKUWA NA MAVI KICHWANI
NAICHUKIA SANA KIJANI. TENA MWENYEKIT WENU NIKIMUONA KWENY TV HUWA NATAPIKA KBSA. NABADILISHA NA CHANEL KABSA
ADUI WA MAENDELEO YETU
1. CCM (CHAMA CHA MAJAMBAZ)
2. UJINGA
3. MARADHI
4. UMASIKINI
BASHITE MKUBWA WW, KAFIE MBALI NA VYETI VYAKO FEKI. ETI CCM? HUWA SITAKI KUISIKIA KBSA TZ. HELSB 15%. Shenzy kbsa na double standard yenu ya kolomije
dah...hapo kwenye nyekundu...Umecheki kama hauna mimba kweli?🙂🙂
 
salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!

CCM INAWEZA? EEEEE? HAYA NDUGU KOLOMIJE.
 
Kuongoza hata ccm imeshindwa kutuongoza Ila kutawala imeweza sana na ,inaweza kuendelea kutawala ; mbona kule Zanzibar imeweza polepole! Ili tuone hawawezi kutawala kabisa hebu tuwe na tume huru na wakurungezi wasiwe ni sehemu ya tume ya uchaguzi na matokeo yote raisi na wabunge yaruhusiwe kupigwa mahakamani. Nje ya hapo pole pole itakuwa ni uongo kwamba hawezi kuongoza!!
 
salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Tanzania yeyote aweza kuongoza ilimradi tu awe na mamlaka ya dola. Kwani nini kigumu??... subjugating the mass???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom