Msaada: Nini husababisha hiki kitendo kwa wasichana

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
723
569
Habari za asubuh wakuu...

Naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo.

Nina girlfriend wangu ambaye huwa anatokwa na maziwa ninaponyonya chuchu zake zaidi ya dakika flani, mwanzo nilijua ni kawaida lakini nilipokuja kufatilia niliona akiwa anakaribia period yake maziwa huwa yanajaa na kusababisha hivyo.

Lakini sasa huyu sasa yeye ni siku yeyote haijalish anakaribia au la huwa anatoa maziwa.

Msaada wenu kwa nini huwa hiki kitu kinatokea...
 
Niliwahi kumwambia demu wng ametoa mimba kisa kutoka maziwa km usemavyo, alilia sana ukizingatia nilimtoa Dar akanifata arusha tena aliacha test chuoni ili aje kwa baby wake, baadae kuja kuchunguza na kuulizia kwa wataalam kumbe ni matatizo tu ya hormones fulani na mabadiliko ya mwili, so usishangae sana iko kitu
 
Habari za asubuh wakuu...

Naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo.

Nina girlfriend wangu ambaye huwa anatokwa na maziwa ninaponyonya chuchu zake zaidi ya dakika flani, mwanzo nilijua ni kawaida lakini nilipokuja kufatilia niliona akiwa anakaribia period yake maziwa huwa yanajaa na kusababisha hivyo.

Lakini sasa huyu sasa yeye ni siku yeyote haijalish anakaribia au la huwa anatoa maziwa.

Msaada wenu kwa nini huwa hiki kitu kinatokea...
unayanyonya wewe ni mtoto hukutosheka na ya mama yako?
 
Na ww nawe unayanyonya sana ayo maziwa, inatakiwa ufanye km unachezesha ulimi kwenye Chuchu wakat ziwa lipo mdomon. Sio kuvuta km mtt wa mwaka na nusu utayalaza ayo maziwa then umuachie ndala mwenzio ata mda bado... Feel relaxing on playing with boobs kuvuta waachie watt..
 
Back
Top Bottom