GIPAMA
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,103
- 541
Jaman nipo maeneo ya Kahama hapa, kuna mtu amenipigia simu kwa namba ngeni na kunitamkia maneno haya "Nasikia unajua sana kuimba nyimbo za mapenzi, sasa wewe umeanza, mimi nitamalizia, nikamuuliza ww n nan? Hakunijibu akanitukana, nami nikajikuta nmemtukana, akasema nimeanza, nisubili yeye amalizie nikamuuliza ww n nan akajibu, "nicmhoji maswali ya kijinga, nisubili amalizie nilichokianzisha alafu ndio nitajua yeye ni nan"" Sauti yake nimeirecord....... Nadhan huyu jamaa anadhani ama anahisi natembea na mke wake ......... Vipi kisheria hapa ili kuleta mazingira ya amani kwangu nifanyeje?