Recent content by KABERWA2013

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hastings Kamuzu Banda: Haya ni kweli kumhusu?

    Historia ya huyo mzee umeipata kutoka chanzo kipi?
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka tuachane, nifanyeje?

    Afadhali amekueleza ukweli kwamba muachane, angekuacha bila kukueleza ukweli angeweza kukusababishia majanga makubwa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya kugusa sana

    Ni hadithi ya kugusa sana kwa kweli
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jogoo hasimami asubuhi

    Kwanini ulianza puli wakati ulishakuwa na mademu au walikimbia hizo double double?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hivi ni kweli skirtel anaondoka lfc?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jogoo hasimami asubuhi

    Check mkojo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hivi baada ya captain Gerald nani alikuja kama yeye je ni kweli ilikuwa sahihi kumuondoa kwa kipindi kile?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

    Sijui yuko wapi, nilidhani angekuwa lawyer mkubwa sana lakini kwayu alimrudisha Azania ili asome PCM ambayo haikua lengo la huyo jamaa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

    Mathias Michael au?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kuwa mtangazaji Babie Kabae wa Clouds TV ni mzuri hivi..!

    Kwani kwenye mashindano ya mamiss majaji huwa ni wanawake wenyewe au huwa ni wanaume?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ulitaka tushinde ngapi?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ubingwa wa liverpool msimu huu you people worry not
  13. K

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kuwa mtangazaji Babie Kabae wa Clouds TV ni mzuri hivi..!

    Wewe mkuu ndo unashangaza. Umekula wee sasa umeshiba unaanza hoo chakula gani hicho. Sasa sisi tunaokula sasa unataka tujisikieje?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kuwa mtangazaji Babie Kabae wa Clouds TV ni mzuri hivi..!

    Ulitaka ndani kuwe na nini? Na kama hamna kitu kwanini ulipiga sana mkiwa chuo? Kwanini hukuchapa maramoja kisha ukasepa?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kuwa mtangazaji Babie Kabae wa Clouds TV ni mzuri hivi..!

    Weka picha yake tukuamini
Back
Top Bottom