Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,171
- 17,324
Ni kijana 27 yrs, hilo tatizo limenikumba mwezi na nusu sasa. Kila ninapoamka asubuhi jogoo kalala tu imefika wakati naogopa kukutana na mtu wangu nikiogopa kudhalilika. Msaada tafadhali.
Cc: MziziMkavu
Cc: MziziMkavu
<<<<USHAURI>>>>
Pole sana bwana mdogo.....
Ukubwa wa tatizo ni vile wewe unavyolichukulia.......haikupaswi kukariri kuwa kila ukiamka asubuhi lazima mlingoti usimame.....inategemea wakati upo kwenye wakati gani kifikra......
Suala lote linalohusiana na ngono linataka utayari kifikra na kimwili....
Mimi enzi zangu nilikaa kwa muda wa mwaka mzima bila ya mlingoti kuamka asubuhi....lakini nilijuwa kuwa napitia hayo kwa kuwa nilikuwa nakabiliwa na mambo magumu....ni kama mtalimbo ulikwa likizo.....
Lakini nikija kuuwesha bado makali yapo pale pale.....
Usipanic kijana....kujua tatizo ndio mwanzo wa kulitatua tatizo.....lakini nina hakika kuwa tatizo lako lipo kifikra zaidi na wala sio kiuhalisia kama vile ambavyo wewe unataka kulipeleka......au kulikuza.....
Bwaga moyo wako na ujitahidi kufurahia wakati pamoja na ndugu jamaa na marafiki......usiweke vitu moyoni....usijinyime raha kwa jambo lililo nje ya uwezo wako.....
Justi chill....and relaaaaxx......
Life is so simple....why complicate it....!???
Kisayansi kusimama kwa uume wakati wa usiku hutokea bila kujijua "unconsciously" hii inaitwa nocturnal penile tumescence (NPT) na hutokea katika REM phase (Rapid eye movement) ya usingizi, kwa mwanaume wa kawaida asiye na matatizo inapaswa kutokea mara 3-5 kwa usiku mmoja, kama haitokei hivyo basi una matatizo flani either physical au psychological, hii kitu ni muhimu kwa sababu tissue za uume zinahitaji oxygen na virutubisho ili ziweze kuwa na afya na kuufanya uume wako uwe na nguvu.
Sasa uume unaposimama kwa kujaa damu wakati wa usiku unapokua umelala na hakuna usumbufu wowote tissue zinapata wakati mzuri wa kufyonza virutubisho kutoka kwenye damu na uume utakua na afya, kusipotokea hicho kitu tissue za uume wako hazitapata virutubisho vya kutosha hivyo kusababisha uume kusinyaa.
Kwa hiyo tukio hili ni muhimu tusilichukulie poa, kama hupigi puli basi punguza stress mambo yaende vizuri, au kachek magonjwa yanayopunguza mzunguko wa damu kama presha na kisukari, pia fanya mazoezi ya viungo kusaidia mzunguko wa damu.
CONCLUSION: Uume kusimama wakati wa usiku au asubuhi ni muhimu kwa afya ya uume wako.