Hadithi ya kugusa sana

.....Mwishowe paka akaamka ilikuwa siku ya pili dogo alikimbia huyo na mama yake ndio ukawa mwisho
Wa kugusana!!
 
mpaka alfajiri wanakijiji wanawakuta mama na mtoto wana mgusa yule paka wakadhani ni wachawi basi nao wakaanZa kuwagusa sana!
 
Kijana mmoja alikuwa anatoka shule akirudi nyumbani njiani akamkuta paka mzuri sana amekufa.
Basi yule mtoto akagusa yule paka mzuri akamgusa tena akamgusa tena akmgusa tena akamgusa tena akamgusa tena akamgusa tena.kama nilivyosema ni hadithi kugusa sana.
Mnashusha hadhi ya jf, aghhhh.....
 
Back
Top Bottom