kichwa panzi
Senior Member
- Sep 18, 2015
- 120
- 104
Azania class, 2000-2003, niweke kumbukumbu sawa, mwaka wetu ilitoka point saba ya rashidi tulisindo, 8 mmoja ya jamaa mmoja sauti kubwa anaitwa aloyce mtenga, tisa zilikuwa nyingi ila naikumbuka mmoja ya albert maira,katika hawa maira alirudi na point tatu form six, nawasilisha