Juzi hapa Uongozi wa CHADEMA wameleta details zao jinsi vikao vinavyoendeshwa, Uidhinishaji wa pesa zao ngazi kwa ngazi, uchaguzi wao, Mbowe/Ndansamburo anadai ngapi kwenye chama, mavitu kibao tukasoma hapa mwenye dukuduku akaelezea na uongozi ukajibu hapa hapa live, Sasa mnataka tuanze kujadili...