Mbowe, Dr Slaa na Mnyika ni viongozi hovyo hovyo

Wakali wa habari,

Mwenzenu nimetoka nje. Hii inakuwa kama unaangalia ile FILM ya LOST.

Nashindwa kuelewa kuwepo kwa Marehemu Wangwe na KUKOSEKANA kwa Zitto.

Ngoja nisubiri PICHA maana kama huelewi litaishaje, ndiyo UNAFAIDI ZAIDI.

Kweli mkuu raha ya film usijue mwisho wake pia usiwe mshabiki wa starring wala adui LOL!! angalia style tu! ama sivyo.. presha i-ta-ku-pa-nda!!Very same story different people. Akili mu kichwa

Inakuwa kama film ya Wild things, kuna twist kibao, hujui nani wa kumuamini!
wild-things-movie.jpg
 
Binafsi namshukuru mtoa hoja. Wana JF nawashauri tulifanyie kazi hili ili tuweze kupata ukweli wa yaliyosemwa na ndugu yetu kuhusiana na tabia mbaya na ya ubinafsi viongozi waandamizi wa chama ya demokrasia na maendeleo (CHADEMA). Halafu, basi tujiridhisha tutarudi kujadili na kuwasaidia watanzania wenzetu wakiwemo wanachama wa chama husika kutoa mapendekezo mbadala juu ya namna ya kuliondoa tatizo hilo.
 
huyu habari ndio hiyo ana harufu kali ya kifisadi na wazi amejionyesha kuwa yeye ndio wa hovyo hovyo! ni hayo tu...
 
Juzi hapa Uongozi wa CHADEMA wameleta details zao jinsi vikao vinavyoendeshwa, Uidhinishaji wa pesa zao ngazi kwa ngazi, uchaguzi wao, Mbowe/Ndansamburo anadai ngapi kwenye chama, mavitu kibao tukasoma hapa mwenye dukuduku akaelezea na uongozi ukajibu hapa hapa live, Sasa mnataka tuanze kujadili umbea huu, mwishowe tutakuwa kama wale kwenye kikao cha Mzee Mwinyi.

Kinachochekesha ni kuwa kila siku ni CHADEMA, lakini NCCR, NLD, CUF haviguswi. Kuna namna.
 
Hapana mkuu Jasusi,

Mleta ujumbe mi nimempenda tena SANA maana ujumbe kama huu kufika hapa ni ngumu sana, tena tungejidanganya kuwa hakuna vitu kama hivi, heri kujua kuwa kuna vipo, then you better get equipped when you wanna face such people!

Mkuu Habarindiyohiyo, ahsante sana kwa ujumbe, TAZAMA wana habari za mwelekeo huu, huwa sipati soft copy yao, huwa sipati hata gazeti lao, sipendi kusoma magazeti ya kuwa na mwelekeo mmoja tu, bora kusoma magazeti ya pande zote nichambue pumba na mchele mwenyewe!

Kuelekea uchaguzi tutawajua makanjanja na waandishi wa ukweli tu
Hata TANZANIA DAIMA la Mbowe lina mwelekeo mmoja kama hivi sasa wa kumshambulia Zitto left and right.
 
watuuuuuuuuuuuu pipoooooooooooooooo. we!!!!!!!!!!1 wewe shatapppppppppp!!!!!! wewe ndo wa ovyo ovyo kwani nani asiyekujua wewe ni RA
 
kweli wabongo hamjitambui,hata kujaribu kufanya utafiti kidogo ili mubaini ukweli hamtaki.mmeshahukumu kwamba that's a mission, na mumeishia hapo.

Aliyewapumbaza na hiyo chadema yenu alaaniwe kwani kawatia upofu watanzania wengi,na hii ni kutokana na kukatishwa tamaa na chama cha mafisadi (CCM).

Siku mkija kutambua ubovu wa CHADEMA mtakuwa mshachelewa
 
Lemme tell you a simple thing:

Hakuna anayeweza (kama ni mzalendo wa kweli na ni mwenye kuipenda nchi hii) kuitetea CHADEMA na kusahau maslahi ya nchi akatetea uozo ukijitokeza ndani ya chama, kumbuka mpaka Rev. Kishoka alikuja na idea ya kuja na chama mbadala, kumbuka mpaka Mzee Mwanakijiji alihoji Mbowe kuhodhi baadhi ya madaraka aliyo nayo ndani ya CHADEMA... etc,

Mawazo ya wachache ndani ya JF hayamaanishi ni mawazo ya wote, kuna watu ndani ya JF unaweza kuwasoma ukaelewa wanabeba mtizamo wa JF kwa upana zaidi, huenda wewe mmojawapo! JF ni wewe, na wewe ni JF, kuwa sehemu ya mabadiliko, ndo maana nikasisitiza, hakuna kukataa hata alerts ndogo zinapokuja, waliokuwa wanataka kusema huu ni uwongo na umbea unaletwa JF nikawasisitizia wasitake kuupuuza, ni vema kuusoma na kuurudia mara mbilimbili kuutafakari kuweza kujua dhamira yake nini na kwanini!

Hapo ni rahisi kujua dhamira ya mwandishi na aidha kumpuuza au kuchukua hatua kumjibu kwa vitendo ama kwa kukaa kimya!
 
Hata TANZANIA DAIMA la Mbowe lina mwelekeo mmoja kama hivi sasa wa kumshambulia Zitto left and right.
Well, sitaki kubishana juu ya Mbowe kuwa mmiliki wa Free Media, same applies kwa Mengi kuwa na IPP Media... Basi malizia mkuu, TAZAMA la nani? Halafu acha kuonesha unamtetea Zitto sana, unamwaribia mkuu. Talk to him via telephone mwulize "Who is Invisible" atakweleza vema!
 
Na Mwandishi Maalum

NIMEFUATILIA kwa siku nyingi sana kelele zinazopigwa na viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kile kinachoitwa kuwa ni "kashfa" ya Richmond na ile ya kuchotwa kwa shilingi bilioni 133 kutoka Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kinyume cha taratibu.

"Kinachoitwa kashfa" au KASHFA?Kusema "kinachoitwa" kunaashiria uzushi,kisicho na ukweli au tuhuma zisizothibitika.Kwa Kimombo tunatumia phase "the so-called." Ni Mtanzania mwendawazimu kama sio fisadi ambaye hadi leo anaendelea kuamini kuwa ujambazi wa Richmond na EPA ni "kinachoitwa kashfa."

Sina sababu ya kuhadithia upya kuhusu kashfa hizo, bali ninataka kuzungumzia hatua ya viongozi wa CHADEMA ya "kuzishikia bango" na kutumia kivuli hicho kuficha ubadhirifu wa mamilioni ya fedha wanaofanya katika chama chao.

Kwanini kusiwe na sababu ya kuhadithia upya kashfa hizo lakini kuwe na sababu ya kuzungumzia ubadhirifu wa mamilioni ya fedha za ruzuku ndani ya Chadema?Hivi hayo mamilioni yanayozungumziwa ni kiasi gani maana angalau za Richmond na EPA tunajua ni kiasi gani so far.

....viongozi hao wanne ndio wamekuwa vinara wa kutengeneza na kuhubiri kila aina ya uzushi na uongo dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, na pia wanataka wanaonekane wajuzi na wataalamu mabingwa wa kutetea raslimali za taifa na Watanzania.
Unajua utetezi mwingine ni wa kilevi.Hivi ni viongozi hao wa Chadema pekee wanaopiga kelele kuhusu ufisadi?Anne Kilango ni kiongozi wa Chadema?Mwakyembe,Selelii,joseph Butiku,nk nk?Na huyu mpuuzi anaposema "kila aina ya uongo na uzushi" pasipo kutueleza "uongo na uzushi" upi anataka tumwelewe vipi?

Pamoja na kufanya hivyo mara kwa mara kwa kutumia majukwaa ya siasa mikutanoni, vyombo vya habari na intaneti, ukweli kuwa lengo lao hasa ni kutaka sifa kwa faida zao wenyewe unaweza kuthibitishwa kwa namna nyingi, moja kati ya njia hizo ukiwa "udandiaji" wa kila "ishu" inayofanywa na serikali na kuipotosha kwa kadri wawezavyo.
Hawa ni Watanzania wenye haki kamili ya kuweka hadharani kero zao na za Watanzania wenzao.Hivi laiti serikali ingekuwa inafanya mambo yanavyotakiwa huko "kuandia" kungetokea wapi?Navyoelwea mie huwezi kudandia kitu kisichopo.Na kama kudandia,ile list of shame ilidandiwa wapi?

Ndivyo alivyofanya Mbowe alipowahutubia akina mama wa CHADEMA kwenye ukumbi wa Urafiki, Kinondoni jijini Dar es Salaam wakati akiwahutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani hivi karibuni.

Si lengo langu kuwasemea wanachama wa CHADEMA kuhusu vilio vyao vya chini chini kutokana na woga wanaojazwa, lakini ukweli kuwa chama hicho hakina nidhamu ya matumizi ya fedha za ruzuku na wahisani yamewahi kulalamikiwa hadharani na Mwenyekiti wa Chama hicho wa mkoa wa Mara, Chacha Zakayo Wangwe mwishoni mwa mwaka uliopita.
Haya ni matusi ya hadharani kwa wana-Chadema.Aliyewajaza uoga ni nani.Angalau CCM inaweza kuwajaza uoga wanachama wake kwa vile ina vyombo vya dola.Sasa Chadema inawezaje kuwajaza uoga wanachama wake?

Pamoja na mambo mengine, Wangwe alikuwa akipigania ruzuku iende kwa wanachama katika matawi, kata, wilaya na mikoani zikaijenge CHADEMA kuliko hali iliyopo hivi sasa ambapo fedha hizo za walipa kodi zimekuwa "zikitafunwa" na viongozi waandamizi utadhani zinaliwa na mchwa katika makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam.

Nakubaliana kwa asilimia 100 na hoja hiyo ya Wangwe ambaye hata hivyo inasikitisha kuona alipochaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti kelele zake hizo zimekwisha, badala yake ameungana na kundi hilo ambalo wakati akiwania nafasi hiyo alikaribia kulisambaratisha kama kishada kilichokwenda harijojo.

Je, yuko wapi Wangwe aliyekuwa mpinzani mkubwa wa matumizi ya helikopta inayoonekana kuwa ya Mbowe zaidi badala ya CHADEMA ingawa inakodiwa kwa shilingi milioni tatu kwa siku zinazolipwa na chama, lakini ambayo kama Mbowe hayupo nchini haikodiwi hata kuruka kwa dakika tano tu?

Yuko wapi Wangwe aliyekuwa kinara wa mapambano dhidi ya matumizi mabaya ya ruzuku inayofujwa kwa idhini ya Ofisi ya Katibu Mkuu, yule ambaye anapokwenda Karatu ama bungeni anajifanya ana uchungu mkubwa na fedha za walipa kodi, lakini anapokuwa Makao Makuu ya CHADEMA anasimamia ubadhirifu anaodai kuupinga mikutanoni?

Yuko wapi Wangwe aliyekaribia kusababisha Zitto na Dk. Slaa wajiuzulu nyadhifa zao wakidai wamedhalilishwa, yule ambaye alipokuwa akitafuta achaguliwe kuwa Makamu Mwenyekiti alikuwa na ujasiri mkubwa wa "kupasua" ukweli na kuanika maovu yote yanayofanywa katika chama chake?

Je, inawezekana kwamba amenyamaza baada ya jina lake kuingia katika orodha ya "vigogo" wanaolipwa fedha nyingi za mishahara katika Makao Makuu ya CHADEMA huku wakidai ni posho ili kuwazubaisha wasiolipwa hata senti tano waliopo kwenye matawini, kata, wilaya na mikoani?

Mbali na kaka yangu Wangwe, nashindwa pia kujua kinachosababisha Mkurugenzi wa Taifa wa Vijana, John John Mnyika asipinge wala kusema chochote kuhusu matumizi ya ovyo ya fedha za ruzuku, lakini kama Wangwe inawezekana pia anafanya hivyo kwa sababu naye ni mmoja wa wakurugenzi wanaolipwa malaki katika mishahara yao huku wakicheza "danganya toto" kwa kudai eti kwamba wanajitolea!

Wanaodhani Mnyika ni kiongozi mwenye uchungu wa kweli na fedha za walipa kodi anapopiga kelele za EPA, Richmond ama mkataba wa Buzwagi na kuanza kumshangilia kwa nderemo na hoihoi hawajui kwamba ni mjumbe wa vikao vyote vya Sekretarieti, Kamati Kuu, Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Taifa huku pia mara kwa mara akikaimu Ukatibu Mkuu wa Chama; lakini hata siku moja tu hajawahi kupendekeza kuwa mamilioni ya fedha hizo za ruzuku "yanayotafunwa" kwa fujo yatengenezewe mfumo wa kutumika mpaka matawini.

Simwelewi Mnyika anapopiga kelele nyingi magazetini akitangaza "utakatifu" wa kisiasa huku akishindwa kuzuia ubadhirifu uliokithiri katika chama chake, akashiriki kudhulumu wanachama na viongozi wanaosota matawini, kata, wilaya pamoja na mikoa ingawa ni wao waliofanya kazi kubwa zaidi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 na hatimaye kukiwezesha kupata ruzuku inayokaribia shilingi milioni 100 kila mwezi.

Wakati akiwa sehemu ya wateule wachache kabisa wanaofaidika na fedha hizo, Mnyika mwenyewe ni shahidi kwamba hakuna cha maana anachowafanyia vijana wa CHADEMA iwe Dar es Salaam, Kigoma, Arusha, Ruvuma, Tanga, Pemba na kadhalika.

Kama anabisha atuambie mwaka jana alifanya ziara ngapi za kikazi katika na mikoa ipi ili tuone iwapo kweli ni Mkurugenzi wa Taifa wa Vijana wa CHADEMA na siyo Mkurugenzi wa Taifa wa Mafaili Ofisini, kisha aseme katika ziara hizo alibeba agenda zipi za kukijenga chama hicho ili tujue kama anapokea mshahara kwa haki hata bila kuhoji posho nyingine.

Aseme amekwenda wilaya zipi nchini katika kipindi angalau cha miezi sita tu iliyopita ili kuwahamasisha vijana wa CHADEMA wazidi kushikamana, vinginevyo atueleze amehutubia mikutano mingapi ya hadhara katika kipindi hicho kama hashindi tu ofisini "akicheza" na intaneti akidhani atamwezesha rafiki yake Mbowe kushinda urais mwaka 2010.

Hata kwa siasa dhaifu kiasi gani haiwezekani kwa kiongozi mwandamizi kama yeye ategemee kujenga chama ili baadaye kije kushinda uchaguzi mkuu kwa makala za intaneti huku takribani zote zikisheheni uongo na uzushi dhidi ya CCM na serikali yake.

Ni Watanzania wangapi wanaoishi mijini wanatumia intaneti iwe kwa shughuli zao wenyewe ama za kikazi ili awe na imani ya wapiga kura kuzisoma makala zake anazoandika huko na kutarajia ushindi mwaka 2010? Au, ni kijiji gani nchini ambako wananchi wamewahi angalau tu kusikia neno linaloitwa intaneti achilia mbali kujua maana au hata shughuli zake?

Wanaodhani Mnyika ana mchango mkubwa kwa CHADEMA hawapembui mambo kwa upana, na pia inawezekana ni wavivu wa kufikiri na hivyo wao wenyewe ni kama usiku wa giza.

Ukisoma kwa makini utadhani kwamba viongozi wa Chadema ngazi za mikoa,wilaya na matawini ni watoto walio tayari kufanya kazi pasipo msaada wa Makao makuu ya Chama hicho.If that were the case,je inawezekanaje matawi ya chama hicho kuendelea kuwa hai ilhali mzembe huyu anatuaminisha kuwa fedha zote zinaliwa na akina Mbowe Makao Makuu?
Inawezekana wanachama na viongozi wa CHADEMA waliopo kwenye matawi, kata, wilaya pamoja na mikoa hawajui kama chama chao kinapata mamilioni ya fedha za ruzuku, yale ambayo badala ya kukijenga "yanatafunwa" na viongozi na maofisa wa makao makuu huku wakidanganywa na kuaminishwa kuwa chama kinaendeshwa kwa kufadhiliwa na Mbowe, Edwin Mtei, Philemon Ndesamburo na matajiri wengine rafiki.
Kwanini iwezekane viongozi na wanachama wa chadema matawini wasijue ilhali wewe umeweza kujua?Na wewe si wa kwanza kuyasema hayo kwani Wangwe pia alisema lakini kinyume na matarajio ya kuona chadema inasambaratika kwa tuhuma hewa Chama hicho kimeendelea kutumia busara za matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.
Kama Mbowe na Dk. Slaa ni viongozi waadilifu na waaminifu katika pesa waonyeshe mgao wa ruzuku ya karibu shilingi milioni 100 inavyotumika katika chama chao, waseme makao makuu inatumia kiasi gani kila mwezi na mikoani zinakwenda kiasi gani ili kulipia kodi za ofisi na mahitaji mengine, vinginevyo wamsute uso kwa uso Chacha Wangwe kuwa ni muongo aliposema hakuna chochote kinachopelekwa.
Chadema kama ilivyo CCM,CUF na vyama vinginevyo havilazimiki kuweka hadharani matumizi ya ruzuku yake.Mwandishi angekuwa na busara angewashawishi wana-Chadema walazimishe upatikanaji wa taarifa hizo lakini sio kuwataka viongozi wakuu wasemee uzushi huo.By the way,tulishaambiwa kuwa kuna ukaguzi utakaofanywa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali.Why not wait for the outcome ya ukaguzi huo badala ya kuendeleza speculations zisizoambatana na ushahidi?

Nasema kifua mbele na bila mashaka yoyote kwamba kitu pekee kinachosaidia kuficha ufisadi uliopo CHADEMA ni ukweli kuwa chama hicho "kipo kama hakipo", kwamba ukiondoa pale panapoitwa makao mkuu kulikobaki kote ni sawa na sufuri.
What else tutegemee kutoka kwako kama si kusema chochote cha kuwaridhisha wafadhili wako kuwa fedha yao imetumika kihalali katika harakati za kuisambaratisha Chadema?
Endapo kingekuwa kikubwa kama CCM, ukweli kuwa mamilioni ya fedha za ruzuku "yanayotafunwa" na viongozi wa makao makuu utadhani zaka ungekuwa umeshafichuka.
Hivi kipi rahisi?Kusaka faili katika jengo la chumba kimoja au kwenye jengo la ghorofa kadhaa kama Kitega Uchumi au IPS?Iweje rahisi kubaini ubadhirifu kwenye chama kikubwa kama CCM lakini iwe vigumu kwenye "chama kidogo" kama Chadema?
maana ukifika hapo hakuna agenda yoyote ya kukijenga chama ili kiwe na nguvu isipokuwa watu wako "bize" kuandika makala za uzushi katika intaneti, na pia hakuna mkakati wowote wa muda mrefu wala mfupi unaolenga kukiinua kiuchumi ili kisiwe ombaomba kupita kiasi. Kubwa linalofanywa na viongozi waliopewa madaraka ya kitaifa ni kujijenga wenyewe ikiwemo kujilipa mamilioni ya fedha za ruzuku pamoja na kutoka kwa wahisani na wafadhili.

Hivi hao wafhadhili na wahisani wanaotoa hela chadema wanaziokota baharini hadi wasiwe na uchungu wa kuziacha ziliwe ovyo ovyo?
Wanaobisha kuhusu ukweli huu wamuulize Wangwe imekuwaje ageuke bubu muda mfupi tu baada ya kuchaguliwa kwake kuwa Makamu Mwenyekiti miezi mitatu iliyopita.
KUMBE MAKALA HII NI YA WAKATI WA UHAI WA WANGWE!!!!?
Aseme kwa nini ameachana kabisa na mapambano ya kupinga kwa nguvu zake zote ubadhirifu mkubwa wa ruzuku unaozidi kushika kasi katika makao makuu ya CHADEMA.
Afuatwe kaburini akahojiwe!

Wahoji inakuwaje chama kinakodi helikopta kwa shilingi milioni tatu kwa kila dakika 60 inazoruka angani huku wakati huohuo kikishindwa kupeleka angalau tu shilingi elfu tatu kwa mwezi katika kila mkoa hata kama ni mara mbili kwa mwaka.

Waulize ni nani ameidhinisha maofisa wa makao makuu ya chama hicho wanaotaka kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 wajigawie kabisa majimbo watakayokwenda kuwania nafasi hiyo utadhani wanachama wote waliopo huko hawana mbele wala nyuma.

Waulize kikao gani kiliketi na kuidhinisha wawe wanalipwa shilingi milioni moja kila mmoja kwa kufanyiana zamu utadhani wake wenza kwa mume wao huku wanachama waliopo kwenye matawi, kata, wilaya mpaka mikoa wakitengwa katika mgao huo wa ruzuku ambayo mwaka 2005 walishiriki kwa nguvu zao zote kuihangaikia.

Waombe kuonyeshwa sheria ya ruzuku inayoruhusu fedha hizo zitumiwe na viongozi wa makao makuu kwenda katika majimbo wanayotoka na kufanyia maandalizi ya kuwania ubunge mwaka 2010.

Wakati hayo yakifanyika kwa siri na tahadhari, "vigogo" wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe; Katibu Mkuu, Dk. Wilbroad Peter Slaa pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Zuberi Kabwe wamekuwa wakiwadanganya Watanzania eti kwamba hawana mawaa.

Mpaka hapo uko wapi uaminifu na uadilifu wao katika chama chao kwanza ili tuweze kuziamini kauli zao wanapozungumza kwa ukali kuhusu Richmond au EPA?

SOURCE: GAZETI LA TAZAMA

Kuwa na mawaa sio sababu ya kukaa kimya.Mbona wewe pamoja na upungufu wa uwezo na busara umeweza kusema kitu flani sasa iweje hao unaodai wenye mawaa wasiseme kinachosemwa na kila Mtanzania mwenye akili timamu.Hizi fedha za mafisadi zishaanza kazi yake.
 
Na Mwandishi Maalum

NIMEFUATILIA kwa siku nyingi sana kelele zinazopigwa na viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kile kinachoitwa kuwa ni "kashfa" ya Richmond na ile ya kuchotwa kwa shilingi bilioni 133 kutoka Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kinyume cha taratibu.

Sina sababu ya kuhadithia upya kuhusu kashfa hizo, bali ninataka kuzungumzia hatua ya viongozi wa CHADEMA ya "kuzishikia bango" na kutumia kivuli hicho kuficha ubadhirifu wa mamilioni ya fedha wanaofanya katika chama chao.

Wanachama waliojazwa imani kuwa chama chao kinaongozwa na viongozi waadilifu katika matumizi ya mamilioni ya fedha za ruzuku na zile zinazotoka kwa wahisani na wafadhili wamekuwa mstari wa mbele kushangilia kila tamko linalotolewa kwa namna moja ama nyingine na Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe; Katibu Mkuu, Dk. Wilbroad Peter Slaa; Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara), Zitto Zuberi Kabwe na Mkurugenzi wa Taifa wa Vijana, John John Mnyika.

Tathmini ya uhakika inaonyesha kuwa viongozi hao wanne ndio wamekuwa vinara wa kutengeneza na kuhubiri kila aina ya uzushi na uongo dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, na pia wanataka wanaonekane wajuzi na wataalamu mabingwa wa kutetea raslimali za taifa na Watanzania.

Pamoja na kufanya hivyo mara kwa mara kwa kutumia majukwaa ya siasa mikutanoni, vyombo vya habari na intaneti, ukweli kuwa lengo lao hasa ni kutaka sifa kwa faida zao wenyewe unaweza kuthibitishwa kwa namna nyingi, moja kati ya njia hizo ukiwa "udandiaji" wa kila "ishu" inayofanywa na serikali na kuipotosha kwa kadri wawezavyo.

Ndivyo alivyofanya Mbowe alipowahutubia akina mama wa CHADEMA kwenye ukumbi wa Urafiki, Kinondoni jijini Dar es Salaam wakati akiwahutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani hivi karibuni.

Si lengo langu kuwasemea wanachama wa CHADEMA kuhusu vilio vyao vya chini chini kutokana na woga wanaojazwa, lakini ukweli kuwa chama hicho hakina nidhamu ya matumizi ya fedha za ruzuku na wahisani yamewahi kulalamikiwa hadharani na Mwenyekiti wa Chama hicho wa mkoa wa Mara, Chacha Zakayo Wangwe mwishoni mwa mwaka uliopita.

Pamoja na mambo mengine, Wangwe alikuwa akipigania ruzuku iende kwa wanachama katika matawi, kata, wilaya na mikoani zikaijenge CHADEMA kuliko hali iliyopo hivi sasa ambapo fedha hizo za walipa kodi zimekuwa "zikitafunwa" na viongozi waandamizi utadhani zinaliwa na mchwa katika makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam.

Nakubaliana kwa asilimia 100 na hoja hiyo ya Wangwe ambaye hata hivyo inasikitisha kuona alipochaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti kelele zake hizo zimekwisha, badala yake ameungana na kundi hilo ambalo wakati akiwania nafasi hiyo alikaribia kulisambaratisha kama kishada kilichokwenda harijojo.

Je, yuko wapi Wangwe aliyekuwa mpinzani mkubwa wa matumizi ya helikopta inayoonekana kuwa ya Mbowe zaidi badala ya CHADEMA ingawa inakodiwa kwa shilingi milioni tatu kwa siku zinazolipwa na chama, lakini ambayo kama Mbowe hayupo nchini haikodiwi hata kuruka kwa dakika tano tu?

Yuko wapi Wangwe aliyekuwa kinara wa mapambano dhidi ya matumizi mabaya ya ruzuku inayofujwa kwa idhini ya Ofisi ya Katibu Mkuu, yule ambaye anapokwenda Karatu ama bungeni anajifanya ana uchungu mkubwa na fedha za walipa kodi, lakini anapokuwa Makao Makuu ya CHADEMA anasimamia ubadhirifu anaodai kuupinga mikutanoni?

Yuko wapi Wangwe aliyekaribia kusababisha Zitto na Dk. Slaa wajiuzulu nyadhifa zao wakidai wamedhalilishwa, yule ambaye alipokuwa akitafuta achaguliwe kuwa Makamu Mwenyekiti alikuwa na ujasiri mkubwa wa "kupasua" ukweli na kuanika maovu yote yanayofanywa katika chama chake?

Je, inawezekana kwamba amenyamaza baada ya jina lake kuingia katika orodha ya "vigogo" wanaolipwa fedha nyingi za mishahara katika Makao Makuu ya CHADEMA huku wakidai ni posho ili kuwazubaisha wasiolipwa hata senti tano waliopo kwenye matawini, kata, wilaya na mikoani?

Mbali na kaka yangu Wangwe, nashindwa pia kujua kinachosababisha Mkurugenzi wa Taifa wa Vijana, John John Mnyika asipinge wala kusema chochote kuhusu matumizi ya ovyo ya fedha za ruzuku, lakini kama Wangwe inawezekana pia anafanya hivyo kwa sababu naye ni mmoja wa wakurugenzi wanaolipwa malaki katika mishahara yao huku wakicheza "danganya toto" kwa kudai eti kwamba wanajitolea!

Wanaodhani Mnyika ni kiongozi mwenye uchungu wa kweli na fedha za walipa kodi anapopiga kelele za EPA, Richmond ama mkataba wa Buzwagi na kuanza kumshangilia kwa nderemo na hoihoi hawajui kwamba ni mjumbe wa vikao vyote vya Sekretarieti, Kamati Kuu, Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Taifa huku pia mara kwa mara akikaimu Ukatibu Mkuu wa Chama; lakini hata siku moja tu hajawahi kupendekeza kuwa mamilioni ya fedha hizo za ruzuku "yanayotafunwa" kwa fujo yatengenezewe mfumo wa kutumika mpaka matawini.

Simwelewi Mnyika anapopiga kelele nyingi magazetini akitangaza "utakatifu" wa kisiasa huku akishindwa kuzuia ubadhirifu uliokithiri katika chama chake, akashiriki kudhulumu wanachama na viongozi wanaosota matawini, kata, wilaya pamoja na mikoa ingawa ni wao waliofanya kazi kubwa zaidi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 na hatimaye kukiwezesha kupata ruzuku inayokaribia shilingi milioni 100 kila mwezi.

Wakati akiwa sehemu ya wateule wachache kabisa wanaofaidika na fedha hizo, Mnyika mwenyewe ni shahidi kwamba hakuna cha maana anachowafanyia vijana wa CHADEMA iwe Dar es Salaam, Kigoma, Arusha, Ruvuma, Tanga, Pemba na kadhalika.

Kama anabisha atuambie mwaka jana alifanya ziara ngapi za kikazi katika na mikoa ipi ili tuone iwapo kweli ni Mkurugenzi wa Taifa wa Vijana wa CHADEMA na siyo Mkurugenzi wa Taifa wa Mafaili Ofisini, kisha aseme katika ziara hizo alibeba agenda zipi za kukijenga chama hicho ili tujue kama anapokea mshahara kwa haki hata bila kuhoji posho nyingine.

Aseme amekwenda wilaya zipi nchini katika kipindi angalau cha miezi sita tu iliyopita ili kuwahamasisha vijana wa CHADEMA wazidi kushikamana, vinginevyo atueleze amehutubia mikutano mingapi ya hadhara katika kipindi hicho kama hashindi tu ofisini "akicheza" na intaneti akidhani atamwezesha rafiki yake Mbowe kushinda urais mwaka 2010.

Hata kwa siasa dhaifu kiasi gani haiwezekani kwa kiongozi mwandamizi kama yeye ategemee kujenga chama ili baadaye kije kushinda uchaguzi mkuu kwa makala za intaneti huku takribani zote zikisheheni uongo na uzushi dhidi ya CCM na serikali yake.

Ni Watanzania wangapi wanaoishi mijini wanatumia intaneti iwe kwa shughuli zao wenyewe ama za kikazi ili awe na imani ya wapiga kura kuzisoma makala zake anazoandika huko na kutarajia ushindi mwaka 2010? Au, ni kijiji gani nchini ambako wananchi wamewahi angalau tu kusikia neno linaloitwa intaneti achilia mbali kujua maana au hata shughuli zake?

Wanaodhani Mnyika ana mchango mkubwa kwa CHADEMA hawapembui mambo kwa upana, na pia inawezekana ni wavivu wa kufikiri na hivyo wao wenyewe ni kama usiku wa giza.

Inawezekana wanachama na viongozi wa CHADEMA waliopo kwenye matawi, kata, wilaya pamoja na mikoa hawajui kama chama chao kinapata mamilioni ya fedha za ruzuku, yale ambayo badala ya kukijenga "yanatafunwa" na viongozi na maofisa wa makao makuu huku wakidanganywa na kuaminishwa kuwa chama kinaendeshwa kwa kufadhiliwa na Mbowe, Edwin Mtei, Philemon Ndesamburo na matajiri wengine rafiki.

Kama Mbowe na Dk. Slaa ni viongozi waadilifu na waaminifu katika pesa waonyeshe mgao wa ruzuku ya karibu shilingi milioni 100 inavyotumika katika chama chao, waseme makao makuu inatumia kiasi gani kila mwezi na mikoani zinakwenda kiasi gani ili kulipia kodi za ofisi na mahitaji mengine, vinginevyo wamsute uso kwa uso Chacha Wangwe kuwa ni muongo aliposema hakuna chochote kinachopelekwa.

Nasema kifua mbele na bila mashaka yoyote kwamba kitu pekee kinachosaidia kuficha ufisadi uliopo CHADEMA ni ukweli kuwa chama hicho "kipo kama hakipo", kwamba ukiondoa pale panapoitwa makao mkuu kulikobaki kote ni sawa na sufuri.

Endapo kingekuwa kikubwa kama CCM, ukweli kuwa mamilioni ya fedha za ruzuku "yanayotafunwa" na viongozi wa makao makuu utadhani zaka ungekuwa umeshafichuka.

Ndiyo maana ukifika hapo hakuna agenda yoyote ya kukijenga chama ili kiwe na nguvu isipokuwa watu wako "bize" kuandika makala za uzushi katika intaneti, na pia hakuna mkakati wowote wa muda mrefu wala mfupi unaolenga kukiinua kiuchumi ili kisiwe ombaomba kupita kiasi. Kubwa linalofanywa na viongozi waliopewa madaraka ya kitaifa ni kujijenga wenyewe ikiwemo kujilipa mamilioni ya fedha za ruzuku pamoja na kutoka kwa wahisani na wafadhili.

Wanaobisha kuhusu ukweli huu wamuulize Wangwe imekuwaje ageuke bubu muda mfupi tu baada ya kuchaguliwa kwake kuwa Makamu Mwenyekiti miezi mitatu iliyopita. Aseme kwa nini ameachana kabisa na mapambano ya kupinga kwa nguvu zake zote ubadhirifu mkubwa wa ruzuku unaozidi kushika kasi katika makao makuu ya CHADEMA.

Wahoji inakuwaje chama kinakodi helikopta kwa shilingi milioni tatu kwa kila dakika 60 inazoruka angani huku wakati huohuo kikishindwa kupeleka angalau tu shilingi elfu tatu kwa mwezi katika kila mkoa hata kama ni mara mbili kwa mwaka.

Waulize ni nani ameidhinisha maofisa wa makao makuu ya chama hicho wanaotaka kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 wajigawie kabisa majimbo watakayokwenda kuwania nafasi hiyo utadhani wanachama wote waliopo huko hawana mbele wala nyuma.

Waulize kikao gani kiliketi na kuidhinisha wawe wanalipwa shilingi milioni moja kila mmoja kwa kufanyiana zamu utadhani wake wenza kwa mume wao huku wanachama waliopo kwenye matawi, kata, wilaya mpaka mikoa wakitengwa katika mgao huo wa ruzuku ambayo mwaka 2005 walishiriki kwa nguvu zao zote kuihangaikia.

Waombe kuonyeshwa sheria ya ruzuku inayoruhusu fedha hizo zitumiwe na viongozi wa makao makuu kwenda katika majimbo wanayotoka na kufanyia maandalizi ya kuwania ubunge mwaka 2010.

Wakati hayo yakifanyika kwa siri na tahadhari, "vigogo" wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe; Katibu Mkuu, Dk. Wilbroad Peter Slaa pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Zuberi Kabwe wamekuwa wakiwadanganya Watanzania eti kwamba hawana mawaa.

Mpaka hapo uko wapi uaminifu na uadilifu wao katika chama chao kwanza ili tuweze kuziamini kauli zao wanapozungumza kwa ukali kuhusu Richmond au EPA?

SOURCE: GAZETI LA TAZAMA

wewe ni miongoni mwa watanzania wapumbavu sana
 
Nimesoma vizuri hii makala lakini inakila dalili ya uchambuzi wa mtizamo wenye kujadili watu zaidi kwa chuki badala ya kujadili jambo.

Kwangu mimi sina tatizo kama CHADEMA wanatuhumiwa na baadhi ya wananchi basi ni vyema wakaweka wazi mapato na matumizi yao ili watanzania tuweze kujua ukweli ni hupi. Na kwa jambo hili ni vyema wakamtafuta mkaguzi mkuu wa hesabu ambaye ni "independet" akakagua matumizi ya RUZUKU wanazopata.

Ni kwanini CHADMA
 
Ni kwanini CHADEMA tu peke yao watuhumiwe na si vyama vingine, ni kwa muda mrefu sasa hili jambo la matumizi mabaya ya ruzuku limezungumziwa lakini viongozi wa chadema hawajachukua hatua sahihi ya kulizungumzia, mimi na sema kama wanafanya siasa katika hili basi napata wasiwasi kuwapigia kura ktk uchaguzi ujao. Kwa upande mwingine ni ngesahuri kwa mwandishi awe objective zaidi kwa kuzungumzia jambo na kuepuka kuattack personalities jambo ambalo halitasaidia...
 
Juzi hapa Uongozi wa CHADEMA wameleta details zao jinsi vikao vinavyoendeshwa, Uidhinishaji wa pesa zao ngazi kwa ngazi, uchaguzi wao, Mbowe/Ndansamburo anadai ngapi kwenye chama, mavitu kibao tukasoma hapa mwenye dukuduku akaelezea na uongozi ukajibu hapa hapa live, Sasa mnataka tuanze kujadili umbea huu, mwishowe tutakuwa kama wale kwenye kikao cha Mzee Mwinyi.

Kinachochekesha ni kuwa kila siku ni CHADEMA, lakini NCCR, NLD, CUF haviguswi. Kuna namna.

CHADEMA ni tishio kwa mafisadi ndio maana wanatumia kila njia kupunguza imani ya watu kwake. Kama Mbowe kaiba hela ya chama inaondoa ukweli kwamba kuna ufisadi wa EPA, Richmond na uchafu wote uliofichuliwa na Dr, Slaa?

Sijaelewa kama hoja kubwa ya mwandishi ni kuhalalisha ufisadi uliopo serikalini au ni kwamba akina silaa hawana haki ya kuhoji wizi wa fedha za walipa kodi kwa vile nao ni wezi.
 
Back
Top Bottom