Recent content by jyn

  1. J

    JamiiForums Tanzania Makubwa ya YOUTUBE kutoka kwa "HALLELUJAH" ya Diamond Platnumz ft Morgan Heritage

    [emoji2][emoji2]kazi ipo
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

    Kwani na wewe si ulikua mawindoni, wote mlikua eneo moja la tukio mnawinda. Pambaneni na hali zenu, msituchoshe
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake na matiti yao...

    Mxiiiiiu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Iphone 4S inauzwa

    Current iOS ni 7.1 na inawork to iPhone 4s
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kinachodumisha mapenzi hiki hapa...

    Ha ha ha hahaaaaa loh "ng'ong'ozo" wat a name??u'v made my day :)
  6. J

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Udini upo kwako!na hayo ni matatizo yako bt the idea presented by CDM ni nzuri! Cha muhimu kuendeleza nchi yetu sio kila kukicha watu wanakimbilia Dar tu na sehemu zengine ziwe na uwezo wakuvutia watu kuishi na kupata huduma sawa na si kujazana Dar tu!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wanaodaiwa kumuua Padri Mushi Wakamatwa...

    Haya bwana washatuona cc ----- kila siku kutudanganya...aliemteka Dr. Ulimboka mkenya,haya leo hawa wamekamatwa Kenya!!...
  8. J

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha IPP (Digtek) kuanza rasmi Jumatatu!

    Alikua anajipanga cha kuleta kwenye huu ulimwengu wa soko huria. Hata ww unaweza kuanzisha cha kwako! Sio lazima ununue...tafuta utakachokua na uwezo wa kununua. Kumbuka vizuri gharama
  9. J

    JamiiForums Tanzania DCI Manumba akata kauli

    Hapo sasa!!!!
  10. J

    JamiiForums Tanzania 2013 Acha Ushamba Ushamba Wako!!!!! Take Control !!!!!!!!!!!!

    Thanx! Happy New Yr
  11. J

    JamiiForums Tanzania Haya ni mtokeo ya kupiga simu wakati unaendesha gari

    thanx kwa kutukumbusha. bt that was soo sad
  12. J

    JamiiForums Tanzania leo temeke haibu tupu!!

    nimependa sana comment zako..kuna ''post" zengine hadi kero kusoma kutokana na makosa ya matamshi yanayohamia hadi kwenye maandishi!.... ni lugha yetu namba 1 basi tujitahidi jamani
  13. J

    JamiiForums Tanzania Startimes wameiachia EATV

    mayb kina low standard/quality....ndo maana anasitasita...king'amuzi chenyewe ukikaa sehemu kuna tall buildings tabu tupu.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

    kizuri kinajiuza,vibaya vyajitangaza:becky:
Back
Top Bottom