Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
Hahahah! Mi naamini ni katika kuwekana sawa. Wengine wanasema mwanaume asipokugombeza basi hakupendi....
sijamaanisha kugombezwa na mwanaume!!!
namaanisha nimepotea nilikuwa na hubby katika zile vurugu za mtwara!!!