Haya ni mtokeo ya kupiga simu wakati unaendesha gari


Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
1,328
Points
2,000
Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
1,328 2,000
BE WARNED: ITS STOMACH CRUNCHING
If you know anyone who likes to TEXT

while driving, Pass it along..

If you look at this, you'll never text or cell phone

While driving again!!!


securedownload (1).gif

securedownload (2).jpg
securedownload (1).jpg
securedownload (3).jpg
securedownload (4).jpg
securedownload (6).jpg
securedownload (7).jpg
STAY OFF THE PHONE! HANG UP ANDDRIVE, OR PULL OFF THE ROAD!!!!
 

Attachments:

N

NnyaMbwate

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
1,599
Points
2,000
N

NnyaMbwate

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
1,599 2,000
OMG! Let the guy RIP. Kweli SIMU+KUENDESHA (gari) = KIFO!
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,686
Points
2,000
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,686 2,000
mmh! sina la kusema
 
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
14,547
Points
2,000
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
14,547 2,000
Ni ya kukumbusjia tu, picha ya siku nyingi mtandaoni!
 
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
6,259
Points
2,000
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
6,259 2,000
Oya, huo ni msala!
 
andishile

andishile

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
1,429
Points
1,225
andishile

andishile

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
1,429 1,225
ni makosa ambayo wengi wetu tunayafanya!asante mleta uzi kwakututahadharisha!
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,101
Points
2,000
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,101 2,000
is not alwayz kwamba ajali haina kinga
 
Cognitivist

Cognitivist

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
1,049
Points
2,000
Cognitivist

Cognitivist

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
1,049 2,000
Mmh sijui hata kwa nini nimefungua hii thread, japo inaelimisha lakini inatisha.
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,240
Points
2,000
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,240 2,000
Afu kuna wajinga wengine wanadai eti picha hizi hazitakiwi kuonekana hadharani wakati wao washakuja kuchungulia humu na kujifunza watakavyoonekana baada ya ajali.
 
tembeleh2

tembeleh2

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Messages
766
Points
195
tembeleh2

tembeleh2

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2010
766 195
Umejuaje kama ajali hiyo imesababishwa na kupiga simu????
 
Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
1,328
Points
2,000
Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
1,328 2,000
Umejuaje kama ajali hiyo imesababishwa na kupiga simu????
​Vitu vingine havina sababu ya kubishana sana, kinachohitajika ni ujumbe umefika. Sasa ni wajibu wako kuukubali au kuukataa.
 
B

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
9,744
Points
0
B

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
9,744 0
​Vitu vingine havina sababu ya kubishana sana, kinachohitajika ni ujumbe umefika. Sasa ni wajibu wako kuukubali au kuukataa.

Ulimbo,jibu mujarabu hili
 
Last edited by a moderator:
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
38,878
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
38,878 2,000
Mbona picha hii ya marehemu haijaheshimiwa?
Ni jana tu kuna watu walikua wanalia hapa kuhusu kuweka picha za marehemu mitandaoni.

Leo vipi mbona kimya??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Forum statistics

Threads 1,283,862
Members 493,849
Posts 30,803,660
Top