Nadhan ni uvivu wa
kufikir tu;
Kwan ukiunganisha mikoa mitatu ama minne na ukaipa serikal moja (Jimbo)
ktk usimamiz, mwananch anapata athar gan?!
Kwasasa tuna wakuu wa mikoa na Madc kila pahal, nin faida yao kwa
mwananch?! Jibu ni hasara kubwa mana wanaongeza matumiz ya Serikal bure,
kwa kaz ambayo ingefanywa na mtu mmoja!
Wanachofanya viongoz hao kwa sasa sio kosa kabisa, mana wanatangaza
muundo wa serikal yao utakuwaje, ili muda ukifika (2015) kama
unakubaliana nao, utawapa kura na kama unadhan itakugawa bas usiwape
kura yako.
Tusiwe wazito kufikir, hasa kwenye mambo ya kitaifa, mana kwa upeo wenu,
CCM wangetangaza sera hiyo hiyo msingesema mambo ya kugawanywa, mfano
tu hv karibun mikoa imegawanywa sana lakn mlikuwa kimyaaaa!!
TUTAFAKAR HIV; Anaegawanya mikoa na yule anaeunganisha mikoa na kuipa
serikal moja, NAN ANATUGAWA!?
Nina mashaka kama mletaji wa huu uzi alimaliza hata DARASA LA 7, akili za samaki kabisa. Endeleeni kufaidi MAFANIKIO yaliyoletwa na CCM kwa miaka 51 sasa
View attachment 85094
Wewe kwa kutokujua kuwa
umasikini wa nchi hii ni kwa sababu ya ccm, nikuite jina zuri kuwa wewe
ni MJINGA.
ufitinishaj wako hauna
tija,jimbo la Mbowe(Hai) wahisan wakshirikiana na kanisa ndio
waliosambaza maj na maeneo meng ya mkoa ule na mirad bado inaendelea had
kesho,kizur serikal ikakabidhiwa iisimamie.
Ahad ya jk uhaba maj kua historia dar vp?
peoplesss ..
Nina mashaka kama mletaji wa huu uzi alimaliza hata DARASA LA 7, akili za samaki kabisa. Endeleeni kufaidi MAFANIKIO yaliyoletwa na CCM kwa miaka 51 sasa
View attachment 85094[ Ni walewale magamba, wanatapatapa kama mfa maji. cdm hakuna kurudi nyuma, moto mliouwasha unaunguza ni balaa... sera ya majimbo mmmwaaa.... mpaka kieleweke... ]
Kama kwa miaka 50 chini
ya Chukua Chako Mapema (kwani rasilimali hazina mwenyewe au mwenye
uchungu nazo) hali ndiyo hii, kwa nini tusijaribu sera nyingine? Tuwape
fursa wajaribu labda itawafanya watawala wasiwe miungu Watu Kama ilivyo
sasa.
Kwa wanaofaidika na system ya sasa ni wazi Kuwa watakuwa na hofu sana
kwani wanajua Kuwa mwisho wao wa kupora mali bila kuulizwa na wananchi
unakaribia. Dhana Kuwa kuna Mikoa haina rasilimali ni potofu kwani nani
aliyejua Lindi na Mtwara Leo wangetamani wajitenge kabisa na hili li
nchi ambalo kila Mtu anachukua chake na mapema?
hivi hujui kuwa wachaga wamejiposition kwenye maeneo yote ya kifedha. kwa huko mtwara, nenda kaulizie orodha ya maded, madt, maafisa mipango utapata ukweli wake
Hawa ndiyo aina watu tunaowataka humu JF, wenye uwezo wa kupembua na kuchanganua mambo, kuna haja kubwa ya kutafakari kwa kina kuhusu hawa wanasiasa wanakotaka kuipeleka nchi.
We mtoa hoja huna maana
kabisa,hiyo mikoa unayong'ang'ania ina maendeleo gani,usituletee
propaganda zisizokuwa na maana, Tanzania ya leo sio ya kuletewa uzushi
kama wako na watu wakakusikiliza, potea huna maana. We utakuwa
Masalia
nani kakudanganya kama 2015 wanachukua nchi? mamlaka ya kidemokrasia haipatikani ila kwa njia ya uchaguzi. kama wanajidanganya kwa kuwa na hao vijana waliopata mafunzo ujerumani ya kuvuruga amani ya tanzania yapo wamechemsha. vikosi vyetu viko imara kukabiliana na chokochoko zozote