Nakubali utamaduni unabadilika tuna move forward na positive things vingine tunaacha. Breast feeding ni kitu muhimu. Perception ya kuangalia maziwa kwa mwafrika haiwezi kuwa sawa na jamii zingine hasa wakati wa kunyonyesha mtoto!
Mimi huwa nawasaidia kuyarudishia kwenye sidiria....
Mimi napenda sana nikiona mwanamke anamnyonyesha mtoto.
Biologically ni kosa kumfunika mtoto wakati wa kumnyonyesha maana hataweza kupata hewa ya kutosha.
Kama wewe una tabia ya kumfunika mtoto na mtandio au na nguo yoyote ile unapaswa kuacha mara moja.
Na ukiona mtu anapata hisia kwa kumuona mwanamke anayemnyonyesha mtoto jua fika kwamba ana matatizo ya akili na mtu kama huyo anaweza kupata hisia hata akimuona mtoto mdogo akiwa uchi.[/QUOT
Well expressed

hahahahahaha chumvi imekolea sana lol
ukitamani nyonyo la mwanamke anayenyonyesha, hakika unaweza tamani k ya binti yako.
hiyo ni ndimu na pilipili mbona!
No akiwa public sio sawa kufanya hivyo usidanganye watu basi wenzetu weupe wangekufa wooote mana wanathamini sana maziwa yao hasa wakati huo wa kunyonyesha huwezi kumkuta mzungu ziwa lipo nje huku mtt ananyonya never bana usipotoshe waafrica tukaendelea na huu ulimbukeni.
Sasa wewe ndo unataka kupotosha watu maana unaanza kulinganisha wazungu na waafrika.
Ni asilimia 28 tu ya wanawake wa kizungu wanashiriki zoezi la breast feeding,the rest ni maziwa ya kopo kwenda mbele.
Suala la mtoto kunyonya ni sawa na kumlisha mtoto chakula sasa wewe kwa uelewa wako unaona ni sawa kumlisha mtoto huku umemfunika yeye pamoja na hicho anachokula?????
Its just a matter of mindset.
Mimi ctegemei kumuona mtu anamtamani mama anayenyonyesha mtoto unless huyo mtu awe ana matatizo ya akili.
Narudia tena ukiona wewe unapata hisia kwa kuona ziwa la mama anayenyonyesha ujue hata ukimuona mtoto mdogo wako wa kike utapata hisia za kimapenzi.
Hahaha jf raha sana. Sasa wewe uliona kinyaa ama ulitamani unyonyeshwe?