Wabongo kwa kupenda rahisi c mfunge dstv!
Alikuwa wapi siku zote hizo? TCRA hebu fungukeni, la sivyo hiyo teknlojia ya digital inaanza kuwa kero na mzigo kwa watanzania. Sasa mbona kila mtu anibuka na decorder yake kwa kisingizio cha ubora wa hali ya juu.
Tekinologia iliyo bora si ile inayofanya maisha kuwa magumu.
Habari nilizozipata jioni hii kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa BTL kuna tetesi kuwa wataviweka sokoni rasmi na washafunga mitambo yao. Ni full kuenjoy kwani unatumia antena ya ndani (indoor antena) si kama startimes. Bei zake zitaendana na ubora wao ni full HD, MP4, Waweza kurekodi vipindi.
Kwa mwezi utalipia 6000 na vitauzwa kwa sh.140,000.
Kwa local TV hakunaga kama Capital TV,ni ya ukweee
Habari nilizozipata jioni hii kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa BTL kuna tetesi kuwa wataviweka sokoni rasmi na washafunga mitambo yao. Ni full kuenjoy kwani unatumia antena ya ndani (indoor antena) si kama startimes. Bei zake zitaendana na ubora wao ni full HD, MP4, Waweza kurekodi vipindi.
Kwa mwezi utalipia 6000 na vitauzwa kwa sh.140,000.
si umepata habari lakini? Yani wewe ndo umeelewa sana kuliko walocomment eh! Wa2 bwana!
Kwa anaejua nini maana ya HD basi hiyo 140,000/= kwa king'amuzi ni sawa na bure. Kama unataka kujua HD decoder ina uzwa kiasi gani waulize wale wazee wa pale karibu na st peters "dstv" nadhani wanaiuza 1000 usd.
Na 6000/= kwa high definition ni zaidi ya bure natamani DSTV ife leo kabla ya kesho maana wanatunyanyasa sana!
kama ni local channels basi weka na Star times kwani hata mie nina Dstv na star times for local channels but hiyo star times sijawahi kulipia as ninapata karibu local channels 5, kama TBC1,Channel 5,ITV,Star Times na Channel 10 bureee na hii star times nimenunua mwaka jana mwezi wa tisa baada ya kusikia kuwa kuna hiyo idadi ya local channels na kulipa 9000 na baada ya hapo sijawahi kulipa hata senti nakula tu local channels.Tatizo la DSTV local chanel unapata moja tu na watuwengi wanapenda kujua habari za nyumbani kwanza kabla hawajaenda kwenye mpira.
kama ni local channels basi weka na Star times kwani hata mie nina Dstv na star times for local channels but hiyo star times sijawahi kulipia as ninapata karibu local channels 5, kama TBC1,Channel 5,ITV,Star Times na Channel 10 bureee na hii star times nimenunua mwaka jana mwezi wa tisa baada ya kusikia kuwa kuna hiyo idadi ya local channels na kulipa 9000 na baada ya hapo sijawahi kulipa hata senti nakula tu local channels.
Kumbe tuko wengi, nliamua kuweka sta times baada ya kugundua kua local chenel hazitakua hewani baada ya mitambo ya anology kuzimwa. Ila huu utitiri wa ving'amuzi inabidi udhibitiwe kwa maslahi ya watumiaji.
Star time inatosha..........local channels za kutosha kabisa.