Recent content by Junior80

  1. Junior80

    Hela za matibabu ya Sajuki zaibiwa

    Kibusha si heri,unamfanya akojee dagaaa,tena aatoke kinyume nyume
  2. Junior80

    Mhhh!! Irene Uwoya kuacha chuchu hivyo ni biashara au?

    Hii picha kaweke mweyewe au mwana JF kaweka,mambo mengine siyo wakubwa. kichefu chefu tu hapa. Vizuri vinafichwa wakubwa,wacha atangza biashara maana hana jipya huyo
  3. Junior80

    45 things that girls want,but wont ask 4.

    Mmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!! Movie life,kwa maisha yaetu sie taabu,itakuaje maaana vinginevyo hatuendelei katu
  4. Junior80

    Tunasubiri hatua ya pili

    Mmmmmmmmhhhhh!! Kutokana na maelezo yake nadhani kuna kitu kinafuata,maaana mshua kamindi kinyama
  5. Junior80

    Nyumba ndogo inanichanganya

    Ni ujasiri tu ndy umekufanya uandike hapa hy maada maana wengi tupo kama ww japo kusema ngumu. Kama anaolewa shukuru,maana anakupunguzia matatizo.Mche Mola,mpende mkeo na ufanye maisha booora. Jenga familia mkuu,hawa wadada wapo
  6. Junior80

    Nyumba ndogo inanichanganya

    Haiwezekani,tena kwa mtindo huuu aaaahhh wapi
  7. Junior80

    msaada>>> external hard disk yangu inagoma kufunguka

    Cable nzima,maana sometimes ikiwa chenga inakuwa inasoma na kupotea mara kwa mara as a results huwezi iona kabisa
  8. Junior80

    Napendekeza dr magufuri awe pm wetu mpya kama una kubaliana na mim vote na like hapa

    Jembe lipo poa,tatizo watambwela kumpa maana hakawi kuwa umbua faster wote
  9. Junior80

    Prof. Lipumba akana kumtetea Pinda, akiri kupigiwa simu kuhusu uwaziri

    Aaaaaaahhhhhh hizo sizo wajameni,au mnataka kufanya jamii forums kama Facebook? Haipendezi,umbea wekeni kando kimtindo wakubwa
  10. Junior80

    Mpenz namiaka 2 naye anakataakusex na mimi..

    Mmmmmmmhhhhhh!!!! Unakumbusha mbaaaali saaanaaaa,ila sina hakika kama nawe yatakuwa kama yangu That's my experience,na hakika inataka moyo tena ujikaze vilivyo. Wala siyo hadithi,hao wadada wapo japo wengine zuga hamna lolote wala nini,mi nilivumilia kwa four Years+,after that nikapewa and it...
  11. Junior80

    Hivi hali kama hii inasababishwa na nini ?

    Umemalizaaa!!!!! Baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaassiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  12. Junior80

    Kijiji kizima kujiunga na CHADEMA Jumatano hii

    :wave: mpango hapa ni mtu hadi mtu,kata,kitongoji,kijiji ,mkoa hafi taifa. Kitaeleweka tu
  13. Junior80

    Niletee CV yako haraka!!!! nikafurahi

    Ma-Hr Siyo wajinga mkuu,ndy vile tena upenyo mdogo na watu kibao wanataka kazi. Imagine mtu mwingine ananvyo kama ww,except hiyo D yako yeye ana A bado unataka wakupe ww tu kazi? Kuwa na aibu,utakula ulicho panda ww omba mungu tu. Usimlaumu Dobi wkt rangi ya kaniki unaijua mkuu Look for another...
  14. Junior80

    Sports Extra ya Clouds Fm

    Daaaaahhhh!!! Nikidhani nina tatizo la usikivu kumbe mdau umesikia pia. Asante sana
Back
Top Bottom