Mhhh!! Irene Uwoya kuacha chuchu hivyo ni biashara au?

Huyo Irene ni limbukeni tu hana u-star wowote bali kisharuwala kinamuwasha.Ohhh sorry nilikua napita tu.
 
Michuchu yenyewe mibayaaa,yameshuka ka ndala yani saa kumi na mbili,hebu jiheshimu dada yangu unajidhalilisha
 
Hivi wadau, najaribu kutafakari, kwa huyu dada ambaye ni kioo cha jamii. kama anaweza kuonesha matiti yake wazi namna hii kwa sababu tu ya tatuuu, basi kesho sitoshangaa kuona kaacha makalio wazi kuonesha tatuu alizochora huko, au kuacha sehemu nyeti wazi kuonesha tatuu alizochora huko, Hakika Kizazi cha sasa kiko mbali sana na Mungu ila Mungu hatuachi kamwe maana yuko kwa waliopotea.
 
kunatofauti kati ya chuchu na ziwa au kiwele. By then tujitahidi tahidi maswali mengine muwe mna google kama mmeshindwa kuwauliza wahusika. Kuliko kutujazia thread zisizokuwa na.....!
 
ukweli nikwamba she is cute but not sexy, so for her to look sexy she must show up what can arouse a man. I like that so log she is confident. Beleive me if she stands with Wema a man will choose Wema on her behalf although Wema is not beautiful as her.
 
CIMG2488.JPG

Raha ya tatoo ionekane kwahiyo hata kama ingekuwa kwenye k ingebidi afanye maarifa ili ionekane cjui angetembea akiwa ameinama?
 
hana aibu hata hoteli ya mtoto kwa sasa anaiacha wazi hajafundwa kwao njinsi ya kulea mwana.
 
Sipendi kuwaongelea watu na maisha yao binafsi ila kwa hili nadhani huyu dada ni rahisi kuelewa tabia yake. Ulimbukeni utatuponza wabongo!!!!
 
yeye super star na ana tatooo kwenye chuchu asipovaa hivyo mtajuaje kama ana tatoo kwenyee maziwa
Hii picha kaweke mweyewe au mwana JF kaweka,mambo mengine siyo wakubwa. kichefu chefu tu hapa. Vizuri vinafichwa wakubwa,wacha atangza biashara maana hana jipya huyo
 

Biashara matangazo daduu!

Hapa wazee na maajuza wa MMU wanasubiri akifa huyu naye utasikia; Alikuwa kioo cha jamii, Ameacha pengo kubwa, Mchango wake katika tasnia ya matangazo ulikuwa bado unahitajika, na kama haitoshi, wizara inayohusika na hayo anayodisplay itatoa 15m kwa ajili ya mazishi yake wakati huo huo kuna zahanati kule kisiwa cha nini-nini inahitaji 10m kumalizia jengo wamama wasijifungulie tena chini ya mti.
 
"AiBu 2pU"
ndo mnawafundisha nn wdg ze2?
shame on u Irene...
*pyu pyu pyu....*
 
Back
Top Bottom