Mpenz namiaka 2 naye anakataakusex na mimi..

Kwa hiyo umekuja hapa kushitaki au nini hasa?. Kama vipi changanya na zako.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Mmmmmmmhhhhhh!!!! Unakumbusha mbaaaali saaanaaaa,ila sina hakika kama nawe yatakuwa kama yangu That's my experience,na hakika inataka moyo tena ujikaze vilivyo. Wala siyo hadithi,hao wadada wapo japo wengine zuga hamna lolote wala nini,mi nilivumilia kwa four Years+,after that nikapewa and it was real na kwa bahati nzuri she is the one having my ring today,I mean we're married. Japo upande mwingine,anything can happen. Mshikaji wangu mmoja,alivumilia for two years,kila mara anaambiwa hadi tuone,oooohh sipendi kumkosea mungu.jamaaa katinza sana na ada kalipa,kuja stukia mchezo jamaaa yake wa karibu anakula mzigo mbaya tena hadi kiaraabu. Mkuu hapo ni ww,kama nia ni kuoa vumilia,ila kama ni kupiga kazi amsha faster,tena usigauke nyuma maana pana jambo mungu anakuepusha nalo. Ni hayo,huo ndy uzoefu wangu na hakika umekumbusha mbaali kinyamaaaaaaaaaaa
 
..,Nampenz nimekaa nayesasa nimiaka miwili na miez kadhaa lakin sijawah kusex nayehatasiku moja
kila kimchombeza anasema wakati badohujafika..,ananipenda kwel au anazingua?
nampango wakumpiga chini asije akawa anamwingine
mimi kanigeuza wakuuzia.

Kweli wewe ni 'The Great Thinker'; Nampenz, miez, lakin, sijawah, kwel nk. ndiyo maana unanyimwa Mshedede. 'Tumgidie *****'.
 
Muoe uone kama atakataa tena!!

Nimemkumbuka mama Tery ! Looh! Kilawalawa , hata pole ?
Kumbe ndiyo wa ivo ?
Kwelii ? Hata ukinipa kwa sasa haina stimu tena ! Original na copy are two thin' differ!
 
Jiulize kwa miaka yote hiyo miwili anaishi vp? Pengine unaomba zi.go huku unauma vidole atakuchukuliaje serious?? Mpeleke kimtindo maabara then jiandae kwa practical kimyakimya utamuona mwenyewe anaanza kuwasha 'bansen bana' kupasha moto bika!
 
..,Nampenz nimekaa nayesasa nimiaka miwili na miez kadhaa lakin sijawah kusex nayehatasiku moja
kila kimchombeza anasema wakati badohujafika..,ananipenda kwel au anazingua?
nampango wakumpiga chini asije akawa anamwingine
mimi kanigeuza wakuuzia.
Ukimpata mwingine tena akikwambia wakati haujafika bora mvumilie huyo atakupa muombe kwa kulia atakuonea huruma.
 
Kaka kuwa makini hasijeakawa kimeo ukauziwa mbuzi kwenye gunia jitahidi mpaka umuone maumbile yake ya ndani ndiyo utangaze ndoa vinginevyo inaweza kula kwako ukajuta daima!
 
mchunguze vizuri anaweza akawa ni dume huyo...siku hizi hakuna kuaminiana mashoga wako wengi mtaani
 
Moments like this huwa nammiss FaizaFoxy! Weye uliefanana maneno na FF njoo basi@Ribosome
 
..,Nampenz nimekaa nayesasa nimiaka miwili na miez kadhaa lakin sijawah kusex nayehatasiku moja
kila kimchombeza anasema wakati badohujafika..,ananipenda kwel au anazingua?
nampango wakumpiga chini asije akawa anamwingine
mimi kanigeuza wakuuzia.

nani alikwambia sex ni kipimo cha upendo??kama unataka sex oa!huwezi kuoa then kaa kimya..
 
..,Nampenz nimekaa nayesasa nimiaka miwili na miez kadhaa lakin sijawah kusex nayehatasiku moja
kila kimchombeza anasema wakati badohujafika..,ananipenda kwel au anazingua?
nampango wakumpiga chini asije akawa anamwingine
mimi kanigeuza wakuuzia.
dah!miaka miwili ndo unalalamika?mi wng huu mwaka tunaenda wa sita hatujawahi kusex,cha muhumu ni malengo yenu tu
 
anamaanisha wakati utafika ukimuoa, vinginevyo endelea kusubiri akitokea mwowaji unaachwa solemba
 
dah!miaka miwili ndo unalalamika?mi wng huu mwaka tunaenda wa sita hatujawahi kusex,cha muhumu ni malengo yenu tu

malengo eeh? haya subiri mpaka mwaka wa kumi... how do you know kwamba malengo yako ndiyo yake?
 
Kwani ni Bikira bado?

tatizo co bikra. je km co bikra ila kaamua kutubu na kuacha ku-do kabla ya ndoa je? mfano. ulikuwa jambaz ukaamua kuuacha ujambaz je mtu anaweza kukushawishi ufanye ujambaz ilhal ushaacha!
 
Back
Top Bottom