Sports Extra ya Clouds Fm

supermario

Member
Dec 2, 2011
48
15
Hiki kipindi ni cha ajabu sana. Shafii Dauda anachapia mno kila anapojaribu kuongea kingereza na vile vile kipindi wanakifanya kama vile wako maskani wanapiga story tuu. Hivi kweli wanakosa hata muda wa kupanga nini wakiongelee ndanin ya kipindi? yani wana ruka toka hapa kwenda kule.
 
Daaaaahhhh!!! Nikidhani nina tatizo la usikivu kumbe mdau umesikia pia. Asante sana
 
si hao tu yani karibu mipindi yao yote ya claus fm,vya kuongea huwa vinaibuka tuu.hasa kipindi cha jahazi yani ndo hadi yaboa,aaaaaaargghhh....
 
afadhal yule dogo mirad ayo anajitahid kidogo ktk kipind chake.
 
si hao tu yani karibu mipindi yao yote ya claus fm,vya kuongea huwa vinaibuka tuu.hasa kipindi cha jahazi yani ndo hadi yaboa,aaaaaaargghhh....

kibonde mzee wa birthday za ikulu,hana lolote huyo ni kama nape ,gamba hilo msitegemee jipya hapo
 
bac mi ndo huwa najickia embarassed km mi ndo niliyesema...kingine ni jinsi wanavyojifanya wataalam na habari zao za kusoma kwenye net
 
Huwa nasikiliza vipindi viwili tu! Clouds FM; Sports Extra na Njia Panda. Spots Extra ni kipindi bora vha michezo kwa kuwa kinaangalia matatizo ya mashinani mpaka TFF. Njia Panda ni kipindi bora cha kijamii kwa kuwa kinatoa picha halisi ya matatizo ya jamii za watu wa chini.
 
naskia hawa jamaa walikula pesa za misaada ya watu waliokumbwa na mafuriko dar
 
Redio hapa Tanznia ni RADIO FREE AFRICA, EA RADIO (super mix tu), MAGIC FM na hii ya hapa ARUSHA but sio 5 rdio
 
Hiki kipindi ni cha ajabu sana. Shafii Dauda anachapia mno kila anapojaribu kuongea kingereza na vile vile kipindi wanakifanya kama vile wako maskani wanapiga story tuu. Hivi kweli wanakosa hata muda wa kupanga nini wakiongelee ndanin ya kipindi? yani wana ruka toka hapa kwenda kule.

Naipenda Sports Extra...lakini sometimes inakuwa kama haikuwa organized na waandaji wake wanakuja bila kuwa na mambo ya msingi, wanaibuaibua mambo tu....jambo moja watalijadiri 30minutes....inaboa
 
Huwa nasikiliza vipindi viwili tu! Clouds FM; Sports Extra na Njia Panda. Spots Extra ni kipindi bora vha michezo kwa kuwa kinaangalia matatizo ya mashinani mpaka TFF. Njia Panda ni kipindi bora cha kijamii kwa kuwa kinatoa picha halisi ya matatizo ya jamii za watu wa chini.

na LEO TENA ya akina gea!!
 
true shafi dauda.. apige msasa ngeli yake... ila kipindi ni kizuri...
 
Tatizo lenu huwa mnawapandisha wenyewe humu JF,hasa huyo Kibonde. Mi Clouds nasikiliza kipindi cha njia panda tu ndio kipindi bora na chenye mpangilio unaoeleweka.
 
Daaaaahhhh!!! Nikidhani nina tatizo la usikivu kumbe mdau umesikia pia. Asante sana

aiseee....kumbe tuko wengi!
Binafsi kipindi nakipenda sana ila mbwembwe za Watangazaji ndio zinakera hasa pale wanapotamka Barcelona(batherona), Zaragoza(tharaghotha). Hata kama wanajitahidi kuongea kiispania, mbona SuperSport wanasema Barcelona(baselona) Zaragoza(zaragoza).

Shafii yuko poa japo kidhungu kina mkaba bora aachane nacho.

Kuna huyo Maestro kwa kweli angetafuta kipindi kingine au aache kutangaza, jamaa anabore sana na anapotangaza mbwembwe za kijinga hadi anasahau kutamka mambo muhimu anaweza sema timu flan imeshinda akaweka mbwembwe akasahau kutaja magoli.

Lwambano yuko poa na makini kwa kazi yake.

Mbwiga wa Mbwiguke ndio hovyoooo kabisa!
 
kibonde mzee wa birthday za ikulu,hana lolote huyo ni kama nape ,gamba hilo msitegemee jipya hapo

jaman hamjamuelewa tu huyu kibonde? ni kibonde kweli kama jina lake! kweli majina yanaeleza tabia za mtu.
 
Hiki kipindi ni cha ajabu sana. Shafii Dauda anachapia mno kila anapojaribu kuongea kingereza na vile vile kipindi wanakifanya kama vile wako maskani wanapiga story tuu. Hivi kweli wanakosa hata muda wa kupanga nini wakiongelee ndanin ya kipindi? yani wana ruka toka hapa kwenda kule.

wanacchofanya ni modern style of presenting something! wana mipaka yao laikni wanapewa uhuru wa kuongea ili mradi usipongee jambo lolote kinyume na utu na sheria za nchi! mi naona watu tumelewa na outdated style of presenting ingawa baadhi ya radio na tv bado wamekumbatia kama tbc na tbc fm, ukisikiliza radio station za wenzetu wako free sana hata kuwazidi hao akina shafii, mi naona hakuna kipr=indi bora cha michezo kama SPORTS EXTRA!
 
Hujaelewa hoja.....issue ni kuwa hawako organized, kujifanya wanajua sana, kuvunja lugha ya kiingereza etc
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom