Kijiji kizima kujiunga na CHADEMA Jumatano hii

Tulianza kwenye majiji kama Arusha, Mwanza, Mbeya, DSM na sasa tunamalizia na Vijijini.
uhuru wa kweli utapatikana kabla ya 2015

.
Iringa, Msoma, Moshi umeyasahau? Pia kumbuka Kigoma, Sumbawanga, shinyanga na Songea yaliporwa kinguvu. Peoplezzzz P.
.
 
Kimbunga Cha Lema chakitafuna urojo CCM kila kona ya nchi.

M4C nendeni kwa kasi zaidi kugusa kijiji hadi kijiji, lango hadi lango na nafsi hadi nafsi. BAVICHA na BAWACHA, biashara ni asubuhi na huko jioni 2015 ni mahesabu tu.

Hemwa hemwa za kukihama chama cha mapinduzi zinaendelea ambapo safari hii wananchi katika jimbo la Simanjiro wanatarajia kutangaza nia yao ya kukihama chama hicho jumatano hii.
 
M2 anayesema CDM ni ya watu wa kaskazini, ana matatizo ya akili( tahira) huko Border ya wajanja wa Tunduma je? ni kaskazini? Apelekwe mirembe haraka, hatudanganyiki wala kushawishika
 
kwani wao ndio wanajua leo hicho ndio chama chao Wakaskazini.


Magamba kwa kusema bila kufukiria mnatisha aka mnatumia .......... Unaposema CDM ni chama cha watu wa kaskazini unajiabisha. Je mwanza, Mbeya, Songea, Sumbawanga, Shinyanga, Dsm, singida ni kaskazini?

Sijui kama mtafika mwaka 2015..... magamba yote yatakuwa yamekwisha
 
orkesmet,sendeka ana kitegauchumi chake pale cha zile nyumba kabla ya kulala unatkiwa ujaze jina kwenye kitabu,mara nyingi huwa kinaandikwa unakotoka orkesmet anakoenda orkesmet

Tehetehetehe....................
 
:wave: mpango hapa ni mtu hadi mtu,kata,kitongoji,kijiji ,mkoa hafi taifa. Kitaeleweka tu
 
Ninachowapendea Chadema wanakubaliana na habari yoyote inayowafurahisha hata kama ni udaku.
 
Kipofu haambiwi Tazama, aliye na macho anatzama NGUVU YA UMMA na hii ni sababu tosha ya kuhamia chadema.

Kiziwi haambiwi sikiliza, asikiaye alisikia, asikiaye anasikia NGUVU YA UMMA; na hii sababu tosha ya kuwahamasisha wenzake kuhama CCM.
Wewe kiumbe mwenye uhai, unahisia kuwa "BIDII YETU ITAINGIZA chadema MADARAKANI"

Karibuni nyote wenye nyoyo ngumu kabla SAFINA haijafungwa
 
Last edited by a moderator:
Kesho usikose kuweka updates za kijiji hicho kukubali juhudi za kujiunga na kambi inayopigania ukombozi wa walio wengi.

Hii ndiyo historia ambayo JO MILYA anaiweka kabla ya kuanza kuisambaratisha ccm hapa nchini.Charity begin at home
 
M2 anayesema CDM ni ya watu wa kaskazini, ana matatizo ya akili( tahira) huko Border ya wajanja wa Tunduma je? ni kaskazini? Apelekwe mirembe haraka, hatudanganyiki wala kushawishika

Watu wanaofikiri kwa akili ya MAITI tuwacbhe tu na tuwaombee,otherwise watatukuta mbele ya safari,tutawapokea japo wamechelewa.
 
Back
Top Bottom