Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
wadau naomba msaada wenu, nina hard disk ya laptop ninayoitumia kama external hard disk drive ambayo ina kila kitu changu (250 gb full):A S-confused1:. imenishtua inapogoma kufunguka japo kwenye tool bar inapop kuwa iko already installed and ready to use lakini nikifungua my computer haionekani, nimejaribu kwa computer zaidi ya moja zenye windows 7 na ubuntu bila mafanikio. naombeni msaada nifanyeje ili niweze kuokoa data zangu. Asanteni