Nyumba ndogo inanichanganya

Nyumba ndogo inanichanganya

Sikupi pole bali nakuonea huruma,una moyo wa vp unajua kua huyo msichana yuko na bwana na anakuaga anakwenda huko
roho yako iko radhi anakwenda kupewa mwenzio chali akirudi huko unakuja kupewa wewe na una jipinda kama vile hajakwenda kuigawa huko ivi huoni uchafu? hata kama halua haina makombo lakini kwa hiyo kama ningekua wewe mie ningesamehe,huyu bint angelia mapaka agaregare chini nisinge kubali,ebu jipende na kua na aari ya moyo
kama mke unae unataka kunambia sio mtamu kuliko huyo msichana?
 
Kwakweli haka kabinti ni kazuri sana na nimekuwa nako kama mwaka sasa.
Sasa hivi kananiambia kamepata mchumba kwani nami pia nina mke. Uroda kanaendelea kunipa ila ikifika jumamosi sikaoni tena eti kanakwenda kwa faience wake.

Ofcoz inauma ila shida yangu ni moja how can I justify kwamba alikuwa kweli kwa huyo fiancee wake alikuwa tena anapiga kazi za nje? Nikitakaga kukatema kanabembeleza kweliiiiiiiiiiiiii mpaka namwonea huruma.

Please JF advise how can I go about it?

Peleka Ujinga wako huko, Malaya!!! samahani kwa kusema maneno haya lakini huu ndo ukweli!! huo ni umalaya na sina sababu ya kukushauri namna ya kuharibu ndoa yako!! Ninancho sema Malaya hapaswi kufumbiwa na kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!!

Ndugu tengeneza mambo yako na umrudie Mungu wako! hivi unaona maumivu unayosababisha kwa mke wako na familia yako?, unafeel maumivu unayosababisha kwa Mchumba wake huyo msichana? what a shame!! halafu unakuja hapa eti naomba ushauri... this mings!!!

Mods hili sio jukwaa la Mabazazi!! tuzingatie maadili jamani... hapa pasiwe sababu ya kuvuruga nyumba za watu na maisha ya watu, pawe sehemu ya kujenga.... mauzi kama haya naomba yasipewe nafasi waende kwenye majukwaa mengine.... aaaggghhhhh!!!!
 
Kwakweli haka kabinti ni kazuri sana na nimekuwa nako kama mwaka sasa.
Sasa hivi kananiambia kamepata mchumba kwani nami pia nina mke. Uroda kanaendelea kunipa ila ikifika jumamosi sikaoni tena eti kanakwenda kwa faience wake.

Ofcoz inauma ila shida yangu ni moja how can I justify kwamba alikuwa kweli kwa huyo fiancee wake alikuwa tena anapiga kazi za nje? Nikitakaga kukatema kanabembeleza kweliiiiiiiiiiiiii mpaka namwonea huruma.

Please JF advise how can I go about it?

I see wewe jamaa una hatari sana, mwache binti wa watu aolewe we si unawako.
 
ukwimwi unaua... chukua tahadhari huo mnyororo mkuu utakufa na kilo 2.acha kaende bwana unakatia kiwingu na kukakosesha bht ya kuôlewa. kumbuka viapo vyenu mbele ya altar. mrudie Mungu wako na atakupa ujasiri kwa kuyashinda hayo. remmember wat goes around comes around!
 
Kama ni huyo namjua.Fiansii wake ni rafiki yangu wa karibu.Ni JWTZ.Kuwa makini..
 
Wacha kuendekeza ufirauni wewe,hauna cheti huo!huoni kama unamfanyia mkeo kitu ambacho wewe huwez kivumilia?mijitu mingine bna!
 
God fobid tena!! Kan ujui kla mla cha mwenzie na chake pia huliwa,mkuk kwa mchungu kwa bnadam nguruwe.
 
Wivu wa nini hata kama hana mchumba, sharing is caring! You wanted to be in the circle so deal with it
 
Ni ujasiri tu ndy umekufanya uandike hapa hy maada maana wengi tupo kama ww japo kusema ngumu. Kama anaolewa shukuru,maana anakupunguzia matatizo.Mche Mola,mpende mkeo na ufanye maisha booora. Jenga familia mkuu,hawa wadada wapo
 
jiulize wewe ungekuwa mwanamke na mke wako ndie angekuwa mwanaume kwa unachokifanya ni kizuri kweli. pili unaharibu maisha ya huyo mtoto mtu mzima huna hata haya. jifunze kwa kuku
 
Kwakweli haka kabinti ni kazuri sana na nimekuwa nako kama mwaka sasa.
Sasa hivi kananiambia kamepata mchumba kwani nami pia nina mke. Uroda kanaendelea kunipa ila ikifika jumamosi sikaoni tena eti kanakwenda kwa faience wake.

Ofcoz inauma ila shida yangu ni moja how can I justify kwamba alikuwa kweli kwa huyo fiancee wake alikuwa tena anapiga kazi za nje? Nikitakaga kukatema kanabembeleza kweliiiiiiiiiiiiii mpaka namwonea huruma.

Please JF advise how can I go about it?
Kwani wewe ni dini gani rafiki?
 
Usije shangaa ukikuta vyako navyo vyaliwa. Utakapogundua hilo utaumia sana na utakuwa mwanzo wa kuharibikiwa ndoa yenu. Tekeleza ahadi yako ya ndoa bro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom