Nadhani hoja inajibiwa kwa hoja mimi siamini kama maneno yaliotumika hapo juu kwenye mjadala wa hoja kama kiazi,akili mbovu,mjinga,mvivu wa kufikiri,mfuasi wa kibwetere yana nafasi,cha msingi tujifunze kuvumiliana na kujibu hoja za msingi kwa hoja na wala si jaziba maana tunaamini watu wenye...