Huwa sijawahi kum-doubt Asha Rose Migiro hata kidogo lakini kama ana support mambo anayofanya Kikwete, hapo ndio nitaanza kumtilia wasi wasi mkubwa, let's wait and see.
Najua kuna watu ndani ya CCM hawakubaliani na utendaji wa Kikwete, and we expect her (Rose) to be one of them. Amebahatika kuwa na exposure ambayo wenzie hawajawa nayo.
Nitamshangaa asipotanguliza nchi kwanza, akipata Uraisi alafu amlinde Kikwete lazima wananchi watajichukulia sheria mikononi kumuadhibu Kikwete. Kwa mtizamo wangu Kikwete na familia yake hawawezi kuepuka accountability hiyo ni wazi.
Naamini pia ndani ya CCM kuna good leaders, watu wenye mapenzi mema na nchi yao, kwanini wanyimwe nafasi? (Najua natofautiana na Watanzania wengi ambao wanaamini mwanachama mzuri wa CCM ni yule aliyekufa).
I do not believe kama kiongozi mzuri anafanya maamuzi kutokana na ideology. Ethics and emotional intelligency has nothing to do with ideology. Mimi naamini both in CCM na Upinzani kuna viongozi wazuri wenye nia njema lakini most of the time ni ngumu kuwatambua kwasababu hawapewi nafasi.
I am against Kikwete 100%, I real do not have words to describe him or his leadership style. Nachukia he is incompetent na akataka madaraka kwanguvu. If that is not enough akapandikiza chuki kwa Watanzania ya udini na ukabila.
I do not believe he can get away with this, Mungu atamuadhibu tu in one way or another.