Daima utanivulia nguo

Daima utanivulia nguo

Daima utanivulia nguo na kubaki uchi,utakaa juu yangu na kuachanisha mapajayako ukinionesha kila kitu chako tukiwa pekee yetu.Hatutothubutu kiniacha,kwani na kutunzia heshima na raha zako.Ndio maana sina wasiwasi na wewe.Vp leo utakuja au bado hujabanwa.Ni mimi rafiki nikupendae sana CHOO.

Recycled from english to kiswahili hardly a week ago
 
kwa wale wavivu wa kusoma akisoma mwanzo tu asipoamalizia story atadhani unatukana ila mwishowe atakuelewa
 
Back
Top Bottom