misemo ya vijana wa kileo bwana.,

Jamani wapendwa nimekaa kijiweni na rafiki zangu na nimesikia misemo iliyonifurahisha hebu ione mwenyewe: -kusoma kuelewa kukesha mbwembwe. -si mbuyu peke yake hata msufi ulianza kama tembele. -kunya anye kuku ,akinya bata kaharisha.
-jino moko,mswaki wanini?
-nyoka hana kiuno ndo mana havai shanga.



yani jamani wana-thinka tuongeze na mingine.........

Post hii inafanana na post fulani ilikuwa ikiitwa MISEMO KATIKA MAGARI na post nyingine iliitwa METHALI ZA SIKU HIZI. Fungua jf library utazikuta
 
full ile laanaaa
aina kwikwiii.....
kitu ng'adaaaaa......
kitu mchulundu,kitu shavu.....
mishemishe mitaa ya kati.......
deal ime jambaaa.....
 
Back
Top Bottom