JK akumbusha juu ya mwaliko wa Papa kuja Tanzania

Status
Not open for further replies.
sasa hao masheikh wanamahusiano gani na ujio wa papa na sisi kama watz tunahitaji haya yote nadhani kama anakuja lisiwe swala la kitaifa waachiewe wakatoliki ni kiongozi wao na ujio uwe ni kwa ajli yao otherwise kama ni suala la kitaifa na likaandaliwa kwa gharama(kodi) za watz including wasiokuwa wakatoliki huu ndio udini wenyewe unaopigiwa kelele na watz kila kukicha
 
Haka kajamaa sikapendi kutoka rohoni mwangu.Upapa kama instittution ndio uliopewa jukumu la kuunganisha dini zote na hatimaye kuwa na dini moja ya kishetani under the Anti-Christ.Pope Benedict is a 33 degree Freemason,atakuwa na lipi jema kwa Tanzania.
Pole sana. angalia mwenzako alivyokenua hapa!! anaelezwa kwamba hakuna mahakama ya kadhi.
attachment.php
 
Naam, hili ndilo kanisa lililoenda shule. Balozi Joseph anayeondoka ni PhD holder. Nimeona hata anavyoongea, kila neno linapimwa kabla ya kutemwa. JK kabaki anatabasamu tu bila kujua kuwa mwenzie yupo maili kadhaa mbele!
 
Hawezi kuja Tanzania kisha apokelewe na Mashetani ya Shekh Yahya huko Ikulu. Isitoshe JK alishasema viongozi wa Kanisa Katoliki wanauza madawa ya kulevya. Ikiwa atakuja basi akina Rweyimamu wa Ikulu watambambikiziwa madawa ya kulevya ili ionekane hivyo. Aibu yake JK hadi atakapotubu.
 
Pole sana. angalia mwenzako alivyokenua hapa!! anaelezwa kwamba hakuna mahakama ya kadhi.
attachment.php
Kwa taarifa yenu huyu ndiye aliyefanikisha ile ziara ya PAPA YOHANI II aliyefariki kuja hapa Tanzania 1990, Wakazi wa Dar, Mwanza watakuwa na Kumbukumbu nzuri. Hivi sasa POP YOHANA II ametangazwa kuwa mwenyeheri. Big up Josephat Cheannotte. JK kuomba ujio wa PAPA Benedict 16 kuja Tanzania ni sawa na kumwambia Padri akupatie mikate ya kanisani Hostia ule hadi ushibe yaani kama Lunch.
 
Duh, yule jamaa jana alikuwa nazuga tu.. but nadhani ukifananisha Tz na mataifa mengine, kweli kautulivu kapo na kauoga
 
Wewe spanner kweli,unafungua usichokijua!
Karibu Papa TZ, wale wanaojifanya kimbelembele kwa Kikwete wakome. Hawajui kwamba nchi hii inaendeshwa na kanisa Katoliki? Njoo PAPA PAPA PAPA, njoo bongo. Uonane na Ustaadhi Mbukuzi, Sheikh Simba, Kundecha, Basaleh, Ponda na KILEMILE, kisha muamrishe Kikwete, “Hakuna mahakama ya kazi hapa…”
 
Kikwete is a muslim and wil remain muslim.Najua wapo inaowauma wengi.hivi kwa nini mnaopinga JK wengi wenu ni wakristo?.halaf let me tel u akipitishwa ccm mgombea mkristo 2015 cdm inavunjika kama sio kufa kabisa.maana kupingwa kwa ccm nyuma ake kumebeba siri nzito.hata ndan ya ccm umamluki umebeba siri nzito nayo si nyingine bali ni udini.kutotatuliwa matatizo yanayokabil taifa letu ni watendaj kutumiwa kumhujum JK ili waislam waonekane hawafai kuongeza.kwanin cdm walikataa kumpa uenyekit Zitto?,jamani na hilo unataka nikutafunie alaa!
 
Unazungumza usichokijua,Kama wewe ni Mroma umeingizwa mkenge.Viongozi wa ngazi za juu wa kanisa hilo wanaruhusiwa kuwa Freemasons!Taarifa zote tunazo,Fungua macho uone,mbona mambo yako hadharani?
 
Unazungumza usichokijua,Kama wewe ni Mroma umeingizwa mkenge.Viongozi wa ngazi za juu wa kanisa hilo wanaruhusiwa kuwa Freemasons!Taarifa zote tunazo,Fungua macho uone,mbona mambo yako hadharani?
Ngoja aingie humu Rev Masanilo uone kama hii thread haijafungwa! Endelea Ku freestyle na kigugumizi chako hadi unatia huruma!
 
huyu kikwete stupid kabisa anasema serikali haitajihusisha na dini yoyote, wala kodi kwa manufaa ya dini moja, huyu papa ikiwa atakuja asiwe mgeni wa serikali, haiwezekani kodi za waislam zitumike kwa ajili ya kumpokea kiongozi wa dini moja huko serikali kuvunja katiba iwaachie wakatoliki wenyewe watumie gharama zao na ulinzi wao mungu hamfichi mnafiki, vinginevyo kitanuka.
 
Habarini wanajf, naomba mnipokee! Kiukweli JK amejaa mawazo ya utegemezi, ndio maana hata speech zake huwa hazikosi neno 'misaada'. Yumkini kabisa kuna misaada anayotegemea kuipata toka Vatican, kwa 'hiyo anatengeneza mazingira'! Hii misaada ya wafadhili anayohemea, tutakuja kujikuta hakuna chetu hata kidogo. Aibu!
 
jk ni chaguo la Mungu

JK ni chaguo la wakwere wenzake.... Siyo Mungu...

Ingekua chaguo la mungu asingetumia mabilioni ya wavuja jasho tutengeneza mtandao wa kumpeleka IKulu..

JK Ukonga inakusubiri.. lazima uende pale....
 
huyu kikwete stupid kabisa anasema serikali haitajihusisha na dini yoyote, wala kodi kwa manufaa ya dini moja, huyu papa ikiwa atakuja asiwe mgeni wa serikali, haiwezekani kodi za waislam zitumike kwa ajili ya kumpokea kiongozi wa dini moja huko serikali kuvunja katiba iwaachie wakatoliki wenyewe watumie gharama zao na ulinzi wao mungu hamfichi mnafiki, vinginevyo kitanuka.

Labda wewe bwana mkubwa hujaelewa kuwa Vatican na Tanzania zote ni nchi na zina mipaka zinazojulikana kimataifa. Kikwete ni rais wa Tz japo sio wa mioyo yetu lkn ndio hivyo na Papa Benedict ni mkuu wa nchi ya Vatican na pia ni kiongozi wa Wakatoliki wote duniania ambapo makao makuu yake yapo Vatican city.

Watu wengi hawaielewi vizuri kuwa Vatikan na Tanzania zina uhusiano wa kibalozi si kwa sababu ya ukatoliki wa wakatoliki bali kwa sababu ni dola mbili. Japo Tanzania haina haina balozi Vatican bali inamtumia balozi wake ambaye yupo Roma (Italia). Nadhani ni Karume mdogo (Ali Karume).

Kwa ufupi Vatikan ni nchi au dola. Japo ukubwa wa eneo lake ni mdogo sana hata karibu ukubwa wa shina au eneo la uwakilishi la balozi au mjumbe wa nyumba kumi lkn ukubwa wake haupo kwenye eneo bali uenezi wakatoliki duniani. Mji mkuu wake ni Vatican City. Kwa kuainisha Vatikan ni nchi ndani ya nchi yaani Vatican ndani ya Italia. Kama zilivyo Swaziland na Lesotho ndani ya Afrika Kusini. Halafu unaweza kusema kuwa Vatican ni nchi ndani ya jiji (Roma). Roma ni mji mkuu wa Italia ambapo Papa Benedict ni Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki kwenye jiji la Roma.

Unaweza kuona jinsi jinsi suala la papa lilivyongumu kuielezea. Kwa hiyo anapokuja Bongo anakuja kwa kofia mbili:
(1) Kuja kama kiongozi wa nchi ya Vatikan ambapo kuna uhusiano wa kidiplomasia na Tz.
(2) Pia ktk ujio huo atawaona na wakatoliki wake na watz wenye mapenzi mema na wakatoliki (BASI). Hii huwezi kuzuia hata uwe nauadui gani na ukatoliki maana haji kama mkatoliki atakuja kama Kiongozi wa Vatikan ambapo hata huyo rais wako alishakwenda kutalii Vatikan mapema kabla hata hakujakucha.

Kwa taarifa, kiongozi wa Vatikan hapangi ziara kama hizi za kujipa kama wa kwetu bali kuna mambo mengi ya kuangalia na nchi nyingi ambazo papa anashindwa kuzitembelea kwa sababu wa wingi. Hivyo kuja Tz inaweza isiwe kitu kirahisi na ikitokea ni bahati kubwa kwa Tanzania.

Pia itakuwa nafasi ya pekee kwa Rais Kikwete kujipiga kifua kuwa kiongozi mwenye mvuto kwa viongozi wa kubwa wa dunia. Najua anapenda sifa na atajisikia sana baada ya kufanikisha ya safari ya Rais Bush na wengine. Pengine atakuwa rais wa pili mwislamu Tz kuhodhi ziara za Mababa Watakatifu (Mapapa) baada ya Rais Mwinyi kumbuka hata kwa marais wakatoliki haikufanyika ziara yoyote.

Ni wazo njema kwa Wakatoliki na sisi wengine wenye mapenzi mema na imani zote lkn hatutaki viongozi wa dini wababaishaji kama wale mashekh ubwabwa wa Igunga.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom