Hivi ndivyo prof. Maghembe alivyopata ubunge wake Mwanga

Kwakweli Wa-TZ tunapoteza haki yetu ya kidemokrasia kwa fedha ndogo mno! Hicho ni kipimo kizuri cha level ya umasikini tulio nao. Mtu mzima huwezi kuhongwa sh. 20,000 au 30,000 kumbeba mtu aingie Bungeni. Ni kipimo pia cha aina ya viongozi tulio nao kuanzia juu hadi chini. Kwanini tusiwe maskini?
Kwa vijini kaka hizo mbona nyingi sana, elfu mbili mpaka tano, tshirt, kanga, pilau mbona zinatosha kabisa.
 
de.jpg
 
Kwa Tanzania si rahisi kujua nani ni muislamu na nani mkristo kwa kuangalia jina tu. Lakini kama majina yanaashiri dini ya mtu, vile vile kuna akina:
Henry N. Chacky
Constantine Lucas
Joseph E. Mpare
Rabiel S. Mvungi
Joshua Msuya

Nikiunganisha post zenu wakuu, ninachoweza kusema waliopokea hongo ni wote wenye njaa na pengine kukosa uzalendo, watoke dini wanayotoka.

Duh! what a coincidence!!!!!!!!!!!!
Wote wale wamebatizwa....!!!!!!!?
Na wakajikuta wana majina ya upande mmoja......sio upande ule wa mabatizo......,
then wakala mlungula......!
 
Poleni watanzania na hasa wa huko mwanga kwenu nilisikia kuwa wakati wa kampeni aliuwa anatamba kuwa jk ni classment wake hivyo hawezi kumuacha na ikawa kweli kapewa kilimo tena,hata hinyo halimashauri yake imepata hati chafu na madiwani wanasema hao waliosababisha uchafu huo wasamehewe ila wasirudie tena .
Leo kupitia vyombo vya habari mzee wa kukumbatia waovu yuko huko mwanga mh,mkuchika tusubiri atasema ni ni nawatakia kila la heri mimi nashughulikia visa yangu ya kwenda amerika huku umeme unakatika kila siku lakini mwisho wa mwezi bili ni ileile bye
 
Ndorwe Vanyua Usangi Mwanga Kilimanjaro Niliwahi kuweka hii post lakini sijui kwa nini haikutokea. Naomba leo niirudie tena. Tuna viongozi wengi sana wanaotokana na magamba ambao ushindi wao kwenye uchaguzi wa 2010 walipita kwa rushwa.

Wa Tz tulio wengi tunajua kuwa TAKUKURU ni Joka la KIBISA. Lakini kuna nchi wananchi kupitia sauti zao,maandamano na pia media zao zilizo huru walifanya mapinduzi  au kuwaondoa madarakani viongozi waliopatikana kwa mizengwe.

Mac Ravolmanana wa Madascar ni mfano wa kwanza . aliondoshwa madarakani na DJ wa FM Radio tu. Hapa nawaonyesha baadhi ya Hint zilizomuingiza Prof Madarakani. na kupewa uwaziri

Magembe ajiandae kabisa kuaga kwani Ccm Mwanga ndio bye bye Magamba na Magembe hali yenu na mlilolifanya Mwanga baada ya Msuya ni 0,sasa amewabagua Wapare kikanda na anafikiri anafanya jambo zuri.Hali ya wanafunzi wa Primary na hali ya shule za Primary ni mbaya sana."Uwaziri wako Magembe wa Magamba ulikunufaisha wewe na familia yako."watoto wa Mwanga hawakupata chochote toka kwako hii ni aibu kuwa na unasimama mbele za watu unajiita Mbunge wa Mwanga Shame on you Magembe Magamba.
 
Hapa mnapoanza kusema mbona wote ni waislam ndiko mnapoanza kuchanganya mambo na haya mambo ya kuanza kujaji mambo kwa misingi ya dini ndo haya yanayotufikisha hapa tulipo maana watawala wanatupeleke jinsi wanavotaka wakijua hatuna agenda yake kila mmoja ana wetu anaagenda yake.Kimsingi suala lililokuwa la kujadili ni kwamba huyu mheshimiwa kumbe kapita kwenye mazingira haya.LAKINI MMOJA AMEIBUKA NA KUANZA KUJAJI DINI ZA WATU kwani hii ndio agenda.Na hawa watu wanaodhani kuwa ukiona issue inawaislamu basi ni udini wanahitaji maombi maana kama waislamu nao wakianza kujaji hivo nadhani hapatakalika maana wao ndio wachache sana kuanzia shule za sekondari hadi maofisini na kama unadhani ni uongo angalia tu hapo /shulen/chuoni/ofisini kwako wako wangapi halafu jiulize nani anapaswa kulalamika.
 
Jamani hii haiwezi kuingia kwenye magazeti? Lakini ninavyojua mimi ni gazeti moja tu humu nchini ndilo lenye uthubutu wa kuanika vitu kama hivyo. Mnalijua, sitaki kulitaja. Na bila shaka liko njiani kufanya hivyo.
 
Kutumia simu kumeniponza sijajua upupu alioufanya mbunge wangu.
 
Maghembe amekuwa mbunge kuanzia mwaka 2000.
Kuna chuo cha ufundi usangi (UVTC) ameshindwa kukiendeleza akiwa kama Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi.
Amekuwa anasambaza udini.
Ukimpelekea barua, anakwambia "kopi mwachie Mke wangu".
 
Dah! kaaazi kweli kweli, Jamani kwani ni lazima ukipatiwa hivyo vijisenti ndio umchague huyo muhusika, watanzania tuamke Jamani. Wewe kama ni hela kula, kula tu. Lakini utachofanya ni siri yako. Tunakosa huduma za msingi kwa faida yetu wenyewe na vizazi vyetu vijavyo kwa sababu ya hivyo vijisenti!. Jamani mpaka tuje kung'atana wenyewe kwa wenyewe ndio tuelewe hili!.
 
Nimejaribu kufuatilia namba za Vodacom zilizoko kwenye hii list kwa kutumia M-pesa, nimekuta ziko sawa na majina. Serikali inashindwa vipi kuchukua kama huu ni ushahidi tosha wa kumfukuza Bw. Maghembe kwenye uwaziri na Chama kimvue gamba?

Hata yeye mwenyewe Maghembe angeondoka tu kwani hii ni aibu kwa kwake, kwa familia yake, aibu kubwa kwa wana Mwanga na Aibu kwa Chama na Serikali.

Nina wasiwasi hata uprofesa wake alichakachua. Na hii inaonyesha jinsi CCM walivyo ingia madarakani kwa hila. Kumbe wana acha kazi chuo kuja kuwadanganya wananchi na 20,000! tena sio wananchi wa kawaida ni viongozi wa mitaa. Tusipo rekebisha hii hali sasa vizazi vyetu vitatuhukumu kwa ujinga huu.

Hafai Kuitwa Profesa au Mheshimiwa tena. Ni takataka tu
 
Ndiyo maana yake ukitaka kula lazima uliwe na bahati yake TAKUKURU walikuwa wamelala au nao walionja kiduchuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom