Duh Taasisi leo umeibukia wapi?..karibu sana.Debate Watanzania hatujui BILA kuwa na MATUSI personal. Mtei (pamoja na kuwa sijali udini wako wangapi wakristo au waisilamu wala sikufikiria) ila hoja yake hapa ni composition ya team.
Sasa badala ya kujadili hiyo hoja anatukanwa kuwa amefilisika kimawazo?? Tena ndio kauli za VIONGOZI wetu hao?? Badala ya kujibu hiyo hoja kwa hoja bora zaidi, tunaanza KASHFA.
Kesho keshokutwa hawa ndio viongozi wa nchi tunaowashabikia alafu nchi inakwenda ovyo tunashangaa. We as society with our mindset produce Leaders who are simply our own mirrors and then we complain!
Kuna neno include ambalo unajifanya hulioni. Ni kuwa katika mazungumzo yao na wafadhili kuhusu huduma hizi kwa jumla, watachomekea haja ya kusaidia HUDUMA zinazoendeshwa na taasisi za Kanisa. Hawataondoka kwenda ujerumani kuombea msaada kanisa. Hilo watafanya wamisheni wenyewe na halipo katika MoU hii. Wewe mwenyewe ulitubandikia bandiko linaloainisha kuwa taasisi hizi zinamiliki zaidi ya asilimia 50 ya shule za sekondari, vyuo na hospitali hapa nchini. Hivi zikitetereka, nani atakayeumia zaidi kama sio sisi watanzania wa kawaida (bila kujali dini zao) ambao tunategemea huduma zao? Pamoja na kuona kuwa ninawatukana, hamuwezi kulinganisha mchango wao katika huduma hizi na zile zinazotolewa na taasisi za dini nyingine na watu binafsi. Serikali iliwanyang'anya na ilishindwa kuziendesha. Leo wamewarudishia, huduma zimeboreshwa lakini mnaona soni kwa vile tu ni wakristu?
Serikali imekaribisha taasisi nyingine zishirikiane nae (hata kwa kuweka MoU kama hii) nazo zimekataa. Badala ya kuchangamkia ili wananchi wa kawaida wafaidike, mnabakia kudai hata hicho chema kiharibiwe ili mkose wote.
Halafu mnajifanya si wadini!
Amandla....
Fundi Mchundo,
Ndugu yangu wee mbona umepotosha zaidi vitu. Grant pamoja na kuwa hairudi hutolewa kwa specific project na hutolewa mara moja sio kitu cha kuendelea kila mwaka kwa chombo au mtu yule yule. JK alisema wazi mwaka jana tu kwamba yeye sio mdini kisha wapa kanisa Billioni 600. Na hata siku moja haiwezi kuwa kitu cha faida yaani kuziwezesha Shule na Hospital zifanye biashara. Hii sio grant kwa ufahamu wangu.
Labda nikukumbushe tu ya kwamba trunachozungumzia ni ARTICAL ONE, the establishment of the institution bila kuwahusisha wadau wengine. Haya unayoongea ya katikati ni miungo tu vya kuwepo kwa chombo hicho. Ni sawa na Muafaka wa CUF haukufaa kuwepo sasa haya ya Maalim Seif kuwa makamu wa rais wa Zanzibar ni kuundwa vyeo na kazi ambazo hazikuruhusiwa kikatiba.
Artical one inasema hivi:-
1. There shall be A GOVERNMENT body to be known as The Chriatian Social Service Commission (herein after to be known as "Commission") whose primary functions shall be:- Blaa blaa blaaa..
Sasa kikatiba huu muundo wa Government body inayoitwa CSSC ndipo tunapokwazwa..Sijui wapi unashindwa kuelewa maana nimechoka kendelea ku bishana wakati kitu kipo wazi kabisa. Ama kweli ndio maana Lowassa anapendwa sana.
Sisi Siyo WADINI hata kidogo. sisi tunatetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. HATA KAMA KANISA LINGEKUWA LINATOA HUDUMA HIZO BURE, SO LONG AS MKATABA WAKE NA SERIKALI UNAVUNJA KATIBA SISI TUTAENDELEA KUPIGA KELELE TU!.
Ndani ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania toleo la mwaka 2008 kipengele cha 20-2 kinasema. "WITHOUT PREJUDICE TO THE RELEVANT LAWS OF THE UNITED REPUBLIC, THE PROFESSION OF RELIGION WORSHIP AND PROPAGATION OF RELIGION SHALL BE FREE AND THE PRIVATE AFFAIR OF AN INDIVIDUAL. THE AFFAIRS AND MANAGEMENT OF THE RELIGIOUS BODIES SHALL NOT BE PART OF ACTIVITIES OF THE STATE AUTHORITY"
Hebu angalia hiyo sentensi niliyoipigia Msitari, ni dhahir Serikali inapofanya juhudi "Kuinclude(kujumuisha) Interests za Taasisi za kanisa Pindi ifanyapo majadiliano na Serikali za Kigeni hususan Ujerumani inakuwa Inavunja Kipengele hicho. Serikali inatakiwa ILIACHE KANISA LENYEWE LIKAFANYE MAZUNGUMZO NA WAHISANI HUSIKA.
TATIZO SIYO UDINI BWANA FUNDI MCHUNDO, TATIZO NI KWAMBA KATIBA YA NCHI INAVUNJWA NA MOU, WAPENDA NCHI YETU WASIO WADINI NI LAZIMA WASIMAME KIDETE KULINDA KATIBA YETU. TATIZO LAKO NI KWAMBA WEWE UNATETEA KANISA, SISI TUNATETEA KATIBA YA NCHI.
KAMA KWELI UNA UCHUNGU NA WATANZANIA UNGANA NA SISI KUISHINIKIZA SERIKALI ILIACHE KANISA LIENDELEE KUTOA HUDUMA KWA KUJITEGEMEA NA KWA NJIA FAIR ZA USHINDANI SAWA NA WADAU WENGINE BILA FOVOURATISM, LIKITOA HUDUMA NZURI KWA BEI NZURI NA KAMA HALINA UBAGUZI WATU WATAKWENDA TU. KWANI SERIKALI IKIACHA KUWAPA MABILIONI YA PESA ZA UMMA KANISA LITAACHA JUHUDI ZA KUWAPA HUDUMA KONDOO?
LAKINI TUISHINIKIZE SERIKALI ITUMIE PESA ZAKE INAZOZIPA KANISA KILA MWAKA KUJENGA VITU VYAKE, NA KUVISIMAMIA VIZURI, MAANA CHA SERIKALI NDIYO KIMBILIO LA WOTE. SERIKALI KUSHINDWA KUSIMAMIA MASHULE AU TAASISI YOYOTE SIYO KISINGIZIO CHA KUWEKA HATMA YA TAIFA ZIMA MIKONONI MWA KANISA, KINACHOTAKIWA NI KWA SERIKALI ALWAYS KUFANYA JUHUDI KUBORESHA.
KUISHINIKIZA SERIKALI KUJENGA VYA KWAKE SIMAANISHI SERIKALI IZUIE TAASISI BINAFSI, AU MASHIRIKA YA KIDINI NAO KUJENGA VITU VYAO, NAMAANISHA KWAMBA MASHIRIKA HAYO YASIMAME YENYEWE, KAMA NI KUSAIDIWA NA SERIKALI BASI YAPEWE MIKOPO,NA KAMA SERIKALI IKIAMUA KUYAPIGA TAFU BASI IYAPIGE TAFU KWA KUZINGATIWA PRICIPLE YA EQUALITY, NA HILO HALIHITAJI KILA MMOJA AWE NA MOU YAKE. KWA MAANA SO FAR TAASISI ZA KANISA KWA SASA ZINAPENDELEWA DHIDI YA NYINGINE KIASI KWAMBA ZINAPIGIWA HATA CHAPUO SERIKALI YETU IKIENDA KUDISCUS DEALS AU KUTEMBEZA KIKOMBE HUKO KWA WENZETU
Ni wapi katika MoU ambapo panasema serikali itashiriki katika masuala ya uongozi wa Kanisa? Kinachozungumziwa ni msaada katika shughuli za kijamii zinazofanywa na taasisi za kanisa, shughuli ambazo taasisi hizi ndio mbia mkubwa wa serikali.Shughuli ambazo zinamfaidia raia wa nchi hii bila kujali dini yake. Kuna ubaya gani kwa serikali katika mazungumzo yake na wajerumani kusema kuwa kuna ka-hospitali huko Kibondo (mfano tu) kinachoongozwa na wakatoliki ambacho kinahitaji msaada wa dawa hasa kama hiyo hospitali ndiyo pekee iliyopo? Hao wakina Kariuki, TMJ, Regency, Tumaini, Aga Khan umewaona lini Matombo? Hawaendi ambako hakuna tija, na ni taasisi za makanisa peke yao wanaojipeleka huko pamoja na serikali. Kinakuuma nini hawa wakisaidiwa kama sio udini?
Kama Shakespeare alivyosema " Thou protest too much" kuhusu udini wako, lazima kuna ukweli.
Amandla....
Sisi Siyo WADINI hata kidogo. sisi tunatetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. HATA KAMA KANISA LINGEKUWA LINATOA HUDUMA HIZO BURE, SO LONG AS MKATABA WAKE NA SERIKALI UNAVUNJA KATIBA SISI TUTAENDELEA KUPIGA KELELE TU!.
Ndani ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania toleo la mwaka 2008 kipengele cha 20-2 kinasema. "WITHOUT PREJUDICE TO THE RELEVANT LAWS OF THE UNITED REPUBLIC, THE PROFESSION OF RELIGION WORSHIP AND PROPAGATION OF RELIGION SHALL BE FREE AND THE PRIVATE AFFAIR OF AN INDIVIDUAL. THE AFFAIRS AND MANAGEMENT OF THE RELIGIOUS BODIES SHALL NOT BE PART OF ACTIVITIES OF THE STATE AUTHORITY"
Hebu angalia hiyo sentensi niliyoipigia Msitari, ni dhahir Serikali inapofanya juhudi "Kuinclude(kujumuisha) Interests za Taasisi za kanisa Pindi ifanyapo majadiliano na Serikali za Kigeni hususan Ujerumani inakuwa Inavunja Kipengele hicho. Serikali inatakiwa ILIACHE KANISA LENYEWE LIKAFANYE MAZUNGUMZO NA WAHISANI HUSIKA.
TATIZO SIYO UDINI BWANA FUNDI MCHUNDO, TATIZO NI KWAMBA KATIBA YA NCHI INAVUNJWA NA MOU, WAPENDA NCHI YETU WASIO WADINI NI LAZIMA WASIMAME KIDETE KULINDA KATIBA YETU. TATIZO LAKO NI KWAMBA WEWE UNATETEA KANISA, SISI TUNATETEA KATIBA YA NCHI.
KAMA KWELI UNA UCHUNGU NA WATANZANIA UNGANA NA SISI KUISHINIKIZA SERIKALI ILIACHE KANISA LIENDELEE KUTOA HUDUMA KWA KUJITEGEMEA NA KWA NJIA FAIR ZA USHINDANI SAWA NA WADAU WENGINE BILA FOVOURATISM, LIKITOA HUDUMA NZURI KWA BEI NZURI NA KAMA HALINA UBAGUZI WATU WATAKWENDA TU. KWANI SERIKALI IKIACHA KUWAPA MABILIONI YA PESA ZA UMMA KANISA LITAACHA JUHUDI ZA KUWAPA HUDUMA KONDOO?
LAKINI TUISHINIKIZE SERIKALI ITUMIE PESA ZAKE INAZOZIPA KANISA KILA MWAKA KUJENGA VITU VYAKE, NA KUVISIMAMIA VIZURI, MAANA CHA SERIKALI NDIYO KIMBILIO LA WOTE. SERIKALI KUSHINDWA KUSIMAMIA MASHULE AU TAASISI YOYOTE SIYO KISINGIZIO CHA KUWEKA HATMA YA TAIFA ZIMA MIKONONI MWA KANISA, KINACHOTAKIWA NI KWA SERIKALI ALWAYS KUFANYA JUHUDI KUBORESHA.
KUISHINIKIZA SERIKALI KUJENGA VYA KWAKE SIMAANISHI SERIKALI IZUIE TAASISI BINAFSI, AU MASHIRIKA YA KIDINI NAO KUJENGA VITU VYAO, NAMAANISHA KWAMBA MASHIRIKA HAYO YASIMAME YENYEWE, KAMA NI KUSAIDIWA NA SERIKALI BASI YAPEWE MIKOPO,NA KAMA SERIKALI IKIAMUA KUYAPIGA TAFU BASI IYAPIGE TAFU KWA KUZINGATIWA PRICIPLE YA EQUALITY, NA HILO HALIHITAJI KILA MMOJA AWE NA MOU YAKE. KWA MAANA SO FAR TAASISI ZA KANISA KWA SASA ZINAPENDELEWA DHIDI YA NYINGINE KIASI KWAMBA ZINAPIGIWA HATA CHAPUO SERIKALI YETU IKIENDA KUDISCUS DEALS AU KUTEMBEZA KIKOMBE HUKO KWA WENZETU
Najua unajaribu sana "KUDOWN PLAY" MANENO, NA "KUOMMIT" BAADHI YA MANENO YA SHERIA NA PIA KUTUMIA SYMPATHY TECHNIQUE ILI KUZIBA HII GROSS VIOLATION YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ILI KULILINDA KANISA.
NIMEKUPA KIPENGELE CHA KATIBA KINACHOKATAZA SERIKALI KUJIHUSISHA NA "THE AFFAIRS AND MANAGEMENT OF THE RELIGIOUS BODIES SHALL NOT BE PART OF ACTIVITIES OF THE STATE AUTHORITY"
UMEOMITT AFFAIRS NA KUZUNGUMZIA MANAGEMENT TU. ILIPOUNDWA HIYO "COMMISION" INAYOTOKANA NA MOU TAYARI HIYO NI RELIGIOUS BODY, NA AFFAIR ZAKE NI HIZO KUMAKE SURE INAJENGA, KUBORESHA MASHULE, MAHOSPITALI N.K- SERIKALI INAJIHUSISHA VIPI NA "AFFAIR" ZAKE?- NI PALE INAPOTUMIA MAMLAKA YAKE YA MAJADILIANO NA NCHI ZA KIGENI KUINGIZA AJENDA ZA HIYO COMMISSION(RELIGIOUS BODY) KAMA MAKUBALIANO YA MOU YANAVYOSEMA.
JE SHUGHULI ZA KANISA ZIPEWE BLANK CHEQUE KWA SABABU RAIA WANANUFAIKA?- HAPANA HATA KIDOGO, NI LAZIMA KATIBA NA SHERIA ZA NCHI ZILINDWE!. NAAMINI KABISA KANISA LINAWEZA KUOPERATE KWA KUFUATA SHERIA BILA KUVUNJA KATIBA YA NCHI NA WANANCHI BADO WAKANUFAIKA NA WAO WAKAENDELEA KUFANYA BIASHARA NZURI TU KWA SABABU SO FAR HII WANAYOFANYA NI BIASHARA.
KATIBA YA NCHI INASEMA PIA ".....FAVOURATISM...." IS PROHIBITED UNDER THIS CONSTITUTION, NI DHAHIRI BASI KWA MOU HII SERIKALI KUGUARANTEE KUZIPA TAASISI ZA KANISA MABILIONI YA PESA ZA UMMA KILA MWAKA NA PIA IKATUMIA RUNGU LAKE LA MAJADILIANO NA SERIKALI ZA KIGENI KWA AJILI YA KUJUMUISHA INTEREST ZA MIRADI YA KANISA, WAKATI TAASISI NYINGINE ZINAZOTOA HUDUMA KAMA ZA KANISA HAZIPATI HIYO FAVOUR, NI FAVOURATISM YA HALI YA JUU, NA KWA MSINGI HUU KATIBA IMEVUNJWA PIA. SASA USIANZE KUSEMA MBONA WANANCHI WANANUFAIKA, WELL HATA KAMA WANANUFAIKA, SO LONG AS KATIBA YA NCHI INAVUNJWA BASI JUA KWAMBA KUNA WANANCHI WASIONUFAIKA, NA PIA NI HATARI KUBWA SANA KWA MSINGI WA FAIRNESS NA JUSTICE UNAKUWA UMEVUNJWA VIBAYA SANA.
AKINA KAIRUKI, TMJ, N.K KUTOKUWA KWAO MATOMBO AU IBWERA AU WAPI, SI HOJA YA MSINGI YA SERIKALI KUVUNJA KATIBA INAYOKATAZA "FAVOURATISM" KATIKA SHUGHULI ZAKE, KWA MAANA MTANZANIA WA MATOMBO HANA HAKI YA KIAFYA ZAIDI KULIKO MTANZANIA WA MANZESE AU BUGURUNI KWA MNYAMANI ANAYEKWENDA KUTIBIWA TMJ AU KWA KAIRUKI. HATA KAMA TMJ WAKIAMUA KUFUNGUA HOSPITALI HUKO MATOMBO, TAYARI MAZINGIRA YA USHINDANI USIO SAWA UMESHAWEKWA NA MOU KUZIPA ADVANTAGE TAASISI ZA KANISA KUTOKANA NA MABILIONI WANAYOPEWA KILA MWAKA.
TATIZO BWANA FUNDI MCHUNDO UNATUMIA "EMOTION" KATIKA KULIANGALIA SUALA HILI BADALA YA KULIANGALIA KATIKA ANGLE YA KANUNI NA USAWA WA WADAU KIKATIBA. HEBU KUWA "RATIONAL" KIDOGO NA JIVUE HILO GAMBA LA "KANISA FIRST, KATIBA NA USAWA WA WADAU WENGINE CAN GO TO HELL".
FUNDI MCHUNDO, KWANI KANISA HALIWEZI KUFANYA SHUGHULI ZAKE KATIKA MAZINGIRA YA USAWA YA KIUSHINDANI DHIDI YA WADAU WENGINE NA HAKI?.
MIMI NAAMINI HATA KAMA SERIKALI ITALIACHA KANISA KUFANYA SHUGHULI ZAKE BILA KULIPA MAPESA YA UMMA, KANISA BADO LITAWEZA TU, KWA SABABU HUDUMA ZA KIJAMII NI FALSAFA AMBAYO KANISA IMESHAJIJENGEA TOKA MAMIA YA MIAKA HUKO KALE- NA UKIZINGATIA THIS TIME KWAMBA "SI HUDUMA TU BALI NI BIASHARA PIA" BASI KANISA LIFANYE BIASHARA ZAKE NA LISIJIFICHE NYUMA YA MGONGO WA HUDUMA ZA JAMII KUJICHOTEA PESA ZA UMMA, WAKATI WADAU WENGINE WAKITOKA KAPA, WAPI USAWA MBELE YA SHERIA.
NA SERIKALI IACHE KUIWEKA HATMA YETU HUSUSAN HUDUMA ZA MSINGI KAMA VILE SHULE NA HOSPITALI KATIKA HISANI YA TAASISI ZA WATU BINAFSI/DINI- ITUMIE MAPESA INAYOIPA KANISA KILA MWAKA KUJENGA VITU VYAKE, NA KUBORESHA VITU VYAKE- NAAMINI SERIKALI IKIFANIKIWA NI JAMBO ZURI HATA KWA KANISA LENYEWE , KWA MAANA KONDOO WAO STILL WATAPATA HUDUMA. SERIKALI IKIFANYA HIVI ITAPANUA WIGO WA HUDUMA, KWA MAANA WATU WATAKUWA NA CHOICE NZURI, EITHER WATAKWENDA KWA WATU BINAFSI/ TAASISI ZA DINI- AU WATAKWENDA SERIKALINI.
Haya nayo yaombewe msamaha na kuwekwa kando!Kauli ya mzee Mtei hailingani na hadhi yake na ,lakini pia haishangazi maana hata kwenye kampeni za arusha mgombea aloshinda akasimamishwa na mahakama aliwahi kusema wananchi wasimchague mvaa hijab watakaribisha ALSHABAB hapa tz.
Najiuliza kauli kama hizi lengo lake nini haswa maana na wengine nao wakianza kukashfu dini za wenzao nchi yetu itakuwaje au ndiyo tunayataka madaraka hata kwa mgongo wa dini.THIS IS NOT POLITICLAL THAT WE NEED. Tujifunze kuheshimu imani/dini za watu wengine ili kuepusha dhana kwamba kuna vyama vinaungwa mkono na makundi fulani ya viongozi wa dini