CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
Nimeuliza swali langu hapo awali la utaratibu wa Mkopo wa m90 wapewao wabunge kama una Riba au la, mbona Sipewi majibu??????
Hauna riba
Nimeuliza swali langu hapo awali la utaratibu wa Mkopo wa m90 wapewao wabunge kama una Riba au la, mbona Sipewi majibu??????
Mkuu ingekuwa vizuri ungeweka bei za Tanzania na costs zake mpaka lifike Tanzania.
Umesema gari ni dola 30,000 kwa chenji ya sasa hivi ni milioni 48 weka ushuru na usafirishaji ndio tujue bei yake mkuu.
Nenda kaulize bankNimeuliza swali langu hapo awali la utaratibu wa Mkopo wa m90 wapewao wabunge kama una Riba au la, mbona Sipewi majibu??????
wote ni walewale tu!
wanafiki sana hawa cdm wanapiga kelele kwa sbb hawajaingia jikoni tu,hawa watakuja kufuja mali zetu kuliko hata magamba, hawa viongozi wa kisiasa hawatakuja kutupeleka tunapotaka wa tz bora mgombea binafsi apitishwe
Nazungumzia "consistency" ya chama kwenye mambo wanayoyapigania wakati wa Kampeni. Kusema akili yangu mbovu hakuondoi ukweli kwamba hata hayo mashangingi ya CHADEMA yananunuliwa na kwa kodi za wananchi. Wewe hujui kuna baadhi ya wabunge kabla ya kuwa wabunge hata Baiskeli walikuwa hawana uwezo wa kununua.
Unajisahaulisha kwamba wabunge wote walipewa mkopo wa shilingi Milioni 90 na ofisi ya Bunge kwa ajili ya kununulia magari yao?
Nenda kaulize bank
rits bwana..lema ana Gx,amekopeshwa na bunge.Kwani ni lake au la bunge?
ila ni ukwel kwamba kabla ya kuwa wabunge baadh ya wabunge wa cdm walikuwa na escudo na sasa wana mashangingi ! as long as wamenunua kwa pesa yao , hamna shida!
Hauna riba
Hauna riba
Natumai unajua ruzuku ni nini na natumai unatambua kuwa Chadema kama chama cha upinzani chenye wabunge wengi zaidi wanapokea ruzuku kubwa kuliko chama chochote cha upinzani. Natumai una tambua kuwa ruzuku inatokana na kodi ya Watanzania.Akili yako mbovu,chadema iliadress yale yanayonunuliwa kwa kodi za watz.kuelewa kugumu sana ndgu yangu...kiazi
Mapenzi bila akili ni bure. Nikuulize swali. Kati ya chama na serikali ni ili yenye umuhimu zaidi ya kufika vijijini? Kwa hiyo viongozi wa serikali wao waende vijijini kwa kutumia nini? Btw kama swala ni gari lipi lenye ufanisi zaidi kwenye barabara za vijijini basi ni Land Rover tena yale 110 na 111.Acha kufikiria kwa kutumia ma***** huko vijijini utaenda na Corolla au GX 100?
Mkuu usikurupuke utakuja umbuka.kabla ya kurukia mada fanya utafiti ujue kama CDM wana hayo mashingingi sio mtu kachoka ku-masaburi ana rusha uzi hapa na wewe unarukia bila kujua ukweli wake.CHOKA KUFANYA KAZI USICHOKE KUFIKIRIA.
Je kama kweli mkopo huu hauna Riba wadhani ni matumizi sahihi kwa pesa za watz kuziingiza kwenye mzunguko wa namna hiyo?