Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Hiyo ndiyo kazi ya katibu mkuu wa chama kut olea ufafanuzi mambo yanayosemwa kutoa tafsiri isiyo sahihi dhidi ya chama husika. Kwa hiyo dr. Slaa hajakosea kwasababu hakutukan, wala kukashifu bali alitoa wasaha, ni kama wewe sasa hivi nakwambia thread yako hujafanya utafiti la usingeiandika.
 
ukweli unajionyesha wazi kwa mtz yoyote mwenye akili ya utambuzi wa mambo na asiyefuata mkumbo.JIULIZE open BILA UNAFIKI kama wewe ni msomi wa kuanzia sekondari hadi chuo kikuu na umeajiriwa serikalini au any parastatal organization.Jiulize moyoni mwako waislam walikuwa wangapi
1 sekondari waislam walikuwa wangapi na wakristo wangapi.2 chuoni waislam walikuwa wangapi na wakristo wangapi 3 maofisni waislam wako wangapi na wakristo ni wangapi 4 mawaziri waislam ni wangapi wakristo ni wangapi 5 madiwani nao vip 6 wabunge waislam ni wangapi na wakristo ni wangapi.JIULZE KWANINI WAISLAMU WAMEKUWA WAKILALAMIKIA BARAZA LA MITIHANI,NA KWANINI wasilalamike. HIVI KAMA KATIBU MKUU WA CHAMA FULANI ANGEKUWA SHEIKH JE NA MASHEIKH WENGINE WAKAWA WABUNGE KUPITIA CHAMA HICHO HICHO JE ingekuwaje?. mwaka 2005 RAIS KIKWETE ALIKUWA CHAGUO LA MUNGU MWAKA 2010 TUNAAMBIWA NI MDINI WAKATI HUO HUO YEYE NI MUISLAM NA KWENYE SERIKALI YAKE MAWAZIRI,WABUNGE,MADIWANI,MAKATIBU WAKUU,WAKUU WA MIKOA NA MADIRECTORS WENGI SAAAAANA TENA SANA NI WAKRISTO je ni watu gani kati ya waislamu na wakristo wangepaswa kulalamikia udini? jiulize mwenyewe kwa nia nzuri ya tanaznia ya baadae
 
Hapana, masharti haya ni magumu ila cha muhimu hapa ni maridhiano (COMPROMISE)!! kila upande uangalie maslahi ya nchi kwanza! CHADEMA waje ktk mazungumzo kama chama cha Kisiasa na upande wa Waislamu waingie kama Waislamu na kama kama vyama vya Siasa vitaona kuwaridhisha Waislamu au Dini nyingine ni vigumu basi ni vyema Katiba mpya iruhusu vyama vya Kidini ili walinde maslahi ya Waumini wao ktk Bunge!!!!
Hilo sio tatizo la chadema kama hao waislamu wachache wanaona chama ni cha kikristo si basi wakiache,Kwa sababu Chadema inajijua ina wafuasi,wanachama wa dini zote nchini kwa hiyo wanaokereka watajiju
 
ukweli unajionyesha wazi kwa mtz yoyote mwenye akili ya utambuzi wa mambo na asiyefuata mkumbo.JIULIZE open BILA UNAFIKI kama wewe ni msomi wa kuanzia sekondari hadi chuo kikuu na umeajiriwa serikalini au any parastatal organization.Jiulize moyoni mwako waislam walikuwa wangapi
1 sekondari waislam walikuwa wangapi na wakristo wangapi.2 chuoni waislam walikuwa wangapi na wakristo wangapi 3 maofisni waislam wako wangapi na wakristo ni wangapi 4 mawaziri waislam ni wangapi wakristo ni wangapi 5 madiwani nao vip 6 wabunge waislam ni wangapi na wakristo ni wangapi.JIULZE KWANINI WAISLAMU WAMEKUWA WAKILALAMIKIA BARAZA LA MITIHANI,NA KWANINI wasilalamike. HIVI KAMA KATIBU MKUU WA CHAMA FULANI ANGEKUWA SHEIKH JE NA MASHEIKH WENGINE WAKAWA WABUNGE KUPITIA CHAMA HICHO HICHO JE ingekuwaje?. mwaka 2005 RAIS KIKWETE ALIKUWA CHAGUO LA MUNGU MWAKA 2010 TUNAAMBIWA NI MDINI WAKATI HUO HUO YEYE NI MUISLAM NA KWENYE SERIKALI YAKE MAWAZIRI,WABUNGE,MADIWANI,MAKATIBU WAKUU,WAKUU WA MIKOA NA MADIRECTORS WENGI SAAAAANA TENA SANA NI WAKRISTO je ni watu gani kati ya waislamu na wakristo wangepaswa kulalamikia udini? jiulize mwenyewe kwa nia nzuri ya tanaznia ya baadae
Ha ha ha ha ha mazuzu na majuha kibao nchi hii ebu fanyeni kazi kuendeleza nchi yetu nchi dini si serikali wala si watu ni taasisi
 
Si kwamba waislamu wote wanaichukia Chadema. Lakini kuna kikundi kidogo kinachoisntigate chuki kwa kutumiwa, kwa kujua au bila kujua. Mfano kutunga waraka wa uongo au feki wa wakatoliki. na watu wengi ambao hawakuuona waraka halisi wakaamini na kuchukia sana cdm.

Kweli kukaa na viongozi wa dini mbalimbali ni muhimu. Hii itakata mzizi wa fitina.:hug:
 
I think other people were Conceived while their parents drinking Chimpumu aka JANGALA.

But as a child, you can always change your ways of thinking.................

Kweli G-STRING ni Bukta kwa miaka 10 ijayo.
Asingeweza kuacha kusema hivyo kama wale wenye chama wamemuamrisha kufanya hivyo,e.g. Pengo nk
 
udini uko wapi ndani ya cdm? mbona wanapigania maslai ya taifa zima? ukweli ni kwamba waislam wanalalamika eti rais aliyeko madarakani ni muislam hivyo asiandamwe wala kupingwa kwa chochote. kwa cdm haiwezekani kuisifia serikali wakati nhi inaangamia huu ni uhuni kijana. revolution daima
 
hakuna ukanda cdm. mnyika sio wa kaskazini, tundu lissu sio wa kaskaz, zitto bado hajaaminika ndani ya chama kuna kitu ndani yake ambacho kimejificha ingawa ni mwanasiasa mzuri. hata mama yake mzazi alikataa zito kukabidhiwa chama kwani haaminiki hadi sasa. acha ushabiki.
 
Kwako mhadhiri,
huwezi kuitisha mkutano wa kuwekana sawa na watu walionunuliwa au wanaotumiwa inakuwa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Tatizo hapa ni ccm mara baada ya kubanwa na chadema sasa wameamua kutumia udini kuona kama wanaweza kuwaslow down chadema kumbuka mkutano wa press conference ulioandaliwa na ccm arusha kwa ajili ya mashehe kujibu hoja za chadema arusha, kumbuka ni ccm hiyo hiyo iliituumu cuf kuwa ni chama cha kidini ili kuwafanya wakrsito waikatae cuf. Wengi wa wafuasi wa hawa mashehe wachache hawajui ngoma wanayoicheza.
 
Mnafikiri hata kwenye KIKAO watakuja?

Wanafahamu kuwa wakija ndiyo utakuwa mwisho wao wa KULA.

Wanafahamu sana wanachokifanya. Watu wenyewe si unaona hata wanavyoandika.

Si mlimsikia Hamad anavyobwabwaja? Dr. Mzima halina tofauti na dada yake Khadija Kopa?

Mkuu GB, ka mwezi bado kachanga tu Mkuu? Au ndiyo matatizo ya mwezi kusogelea dunia?
Na wakifuata ushauri huu wako ndio watakuwa wameuwasha moto kwani iko wazi kabisa kuwa viongozi wa CHADEMA ni vibaraka wa viongozi wa dini ya ukatoliki, na ndio wao wanaotoa kauli zao na zinapitishwa vinywani kwa kina Slaa na wenzake, na kwenye uchaguzi mkuu makanisa yamedhihirisha hilo wazi kabisa
 
Mwenye Brain ya jini umechangia vizuri sana kulingana na Brain yako ya Kijinijini
 
acha ushamba ndugu yangu. cdm kuingia mkataba na waislam ni uhaini mkubwa. kwani ccm, cuf, nccr na wengine wana mikataba na waislam? tumia akili yako kuzungumza siasa sio ushabiki wa kidini. vp kuhusu cuf? ccm? use ur brain plz
 
Hivi karibuni Sheikh Mkuu alitoa kauli ya kuwataka waislam wasishiriki maandamano yanayoandaliwa na Chadema. Baada ya siku moja Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa akajibu kwa kusema Sheikh Mkuu hakufanya utafiti. Kauli ya Slaa ni sahihi lakini haikustahili kutolewa na kiongozi kama yeye katika kipindi hiki ambacho kuna tension kubwa ya udini na mikakati ya makusudi ikifanyika kukihusisha chama hicho na mambo hayo. Slaa kwa kufanya hivyo anataka kukiingiza Chadema na yeye binafsi kwenye mtego wa malumbano ya kidini kitu ambacho kitawanufaisha wapinzani wao CCM. Naishauri Chadema kuwa waangalifu sana na mitego ya aina hiyo na ikiwezekana baadhi ya majibu au matamko yawe yanatolewa na viongozi wa chini kama wenyeviti wa mikoa au viongozi wa jumuia za chama kama BAVICHA ili iwe rahisi kukihami chama endapo kutakuwa na utata kutokana na kauli iliyotolewa. Chadema isione aibu kujifunza kutoka CCM kwa kutoa matamko kupitia jumuia zao kama UVCCM viongozi wa juu wanapotakiwa kuthibitisha husema 'hayo ni maoni yao' hata kama ndio msimamo wa chama. Naomba kuwasilisha.

kwa mtazamo wangu mimi naona tamko kama hili lilitakiwa kujibiwa na mtu kama Zito, Afit.......na wa wengene wenye imani hiyo hiyo wa shehe wetu.....
 
Did you find this post helpful? |
icon1.png
Re: Chadema: kwa hili mlitaka kukosea

quote_icon.png
Originally Posted by Quinine
Hivi karibuni Sheikh Mkuu alitoa kauli ya kuwataka waislam wasishiriki maandamano yanayoandaliwa na Chadema. Baada ya siku moja Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa akajibu kwa kusema Sheikh Mkuu hakufanya utafiti. Kauli ya Slaa ni sahihi lakini haikustahili kutolewa na kiongozi kama yeye katika kipindi hiki ambacho kuna tension kubwa ya udini na mikakati ya makusudi ikifanyika kukihusisha chama hicho na mambo hayo. Slaa kwa kufanya hivyo anataka kukiingiza Chadema na yeye binafsi kwenye mtego wa malumbano ya kidini kitu ambacho kitawanufaisha wapinzani wao CCM. Naishauri Chadema kuwa waangalifu sana na mitego ya aina hiyo na ikiwezekana baadhi ya majibu au matamko yawe yanatolewa na viongozi wa chini kama wenyeviti wa mikoa au viongozi wa jumuia za chama kama BAVICHA ili iwe rahisi kukihami chama endapo kutakuwa na utata kutokana na kauli iliyotolewa. Chadema isione aibu kujifunza kutoka CCM kwa kutoa matamko kupitia jumuia zao kama UVCCM viongozi wa juu wanapotakiwa kuthibitisha husema 'hayo ni maoni yao' hata kama ndio msimamo wa chama. Naomba kuwasilisha.

Umenena mkuu,nami uwa mara nyingi napenda viongozi wa cdm wawe makini katika kujibu,si kila kitu lazima wakijabu mfano malumbano yanayoendelea sasa ya kuichafua chadema naomba wao wasijibu huo ujinga kwani ni mkakati wa kuonyesha kuwa hawana jipya,wao wajikite kuonyesha ukweli kwa wananchi uozo wa serikali tu,vyama vingine vinahitaji umaarufu tu kwa kujibizana na cdm wakati huo huo kujipendekeza ccm.
Wakuu mmesema kweli, kwa watu wenye busara si lazima kujibu kila kitu. Weka mkakati kuimalisha chama, malumbano waachie waganga njaa. Wakuu mkitulia na kufanya kweli hata maadui watawapenda tuu, cos in politics no permanent enemy!!!!!!! Aluta Continua CDM!!!!!!!!!

acha uchafuzi wa lugha ww, siyo kuimalisha ni kuimarisha
 
Chadema walikosea kumtumia slaa kujibu statement ya mufti, walichotakiwa kukifanya ni kumtumia mtu kama said arfi kujibu hoja za mufti na kuchambua moja baada ya nyingine kwani kauli zake nyingi za mufti zilikuwa ni empty suit hazina nyama ndani kama vile watu kumchukia jk kwa sababu ya dini yake wakati jk alichaguliwa na watu wa dini zote kwani huwezi kuwa rais wa tzn kwa kupigiwa kura na watu wa dini moja tu.
 
Slaa ni mropokaji tuu hana jipya,nina wasiwasi sana na phd yake hiyo ya somo la dini anayojigamba nayo kama kweli aliifanya mwenyewe au alifanyiwa! coz kwa mtu mwenye phd asingeweza kukurupuka kiasi kile na kumshutumu mufti ambaye kimsingi ni msomi wa ngazi ya juu katika dini ya kiislamu kama vile ambayo slaa yuko katika dini ya kikristo(kikatoliki) eti afanye utafiti?? yeye Slaa alipotangaza kifo cha mkuu wa mkoa wa Shinyanga alifanya utafiti gani? kweli nyani haoni kundule...
 
kaka kwani yy kikwete na phd ya kenyatta university.
 
Huna lolote ulilobaki nalo mzee zaidi ya kujishebedua tu

Afadhali mimi ninayefanya hivyo kwa binadamu kuliko wewe unayefanya hivyo kwa Yesu! Avatar yako hiyo unalitukanisha jina la Yesu mkuu!

1. Yesu anasema usihukumu
2. Yesu anasema usiwe na kinyongo (gubu)
3. Yesu anasema mchukuliane

Katika hayo wewe unafanya lipi?
 
Hapo mkuu umeteleza kidogo! CDM ni chama tunachotaka kilete mapinduzi. kiwe tofauti na CCM katika muundom wake nam uendeshaji wake. CDM haiwezikamwe kuiga namna CCM wanavyofanya mambo yao. Kwa sababu hawa ndio wametufikisha hapa tulipo, miaka hamsini imepita! Hatutaki maji mapya kwenye chupa ile ile bali tunataka chupa mpya pia!
 
Back
Top Bottom