Recent content by Joyum

  1. Joyum

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kikao cha CC ya CCM Jana usiku

    hayo magazeti ya udaku nini yanayoripoti fununu??!!!
  2. Joyum

    JamiiForums Tanzania Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

    mh!:shock:
  3. Joyum

    JamiiForums Tanzania Nini Sababu ya Umaskini au Utajiri wa Nchi? Mfano wa Tofauti kati ya Korea Kusini na Korea Kaskazini

    Mimi kwa maoni yangu hawezi kubanwa kama ameiba kazi ya watu mana hajaipublisha kama scietific akaclaim ni utafiti wake. tatizo langu kubwa kwenye hii makala ni moja kutaka kuaminisha umma kama mifumo hii miwili ndo kigezo cha umasikin au utajiri, pili kushindwa kutoa concrete suggestions kwa...
  4. Joyum

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla atangaza nia kuutaka Urais 2025!!!

    dreams are not for sale why not dream big!
  5. Joyum

    JamiiForums Tanzania Dk. Kigwangalla achukua fomu kuwania uenyekiti wa Jumuiya wa Wazazi Taifa

    atafutaye hachoki akichoka ujue kapa.......
  6. Joyum

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka azimwa

    hivi kuna sehemu ulimboka alisema anawajua waliomteka au yeye alisema walikuwa wanaonakana kama watu wa state, mapolisi mana walijitambulisha hivyo?
  7. Joyum

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka azimwa

    Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100. hata kurudi nchini na kuona hakuna kilichoendelewa tayari ni stress sana kwake. hii nikama mtu laikua napigania haki za watu akauawa then akafufuka akapewa story jinsi watu walivyomsaliti, nafikiri atatamani afe hapohapo na asikumbuke kitu.
  8. Joyum

    JamiiForums Tanzania Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    saa tisa kasoro dk tisa hiyo
  9. Joyum

    JamiiForums Tanzania Sirleaf vs Dr Asha Migiro.

    Real! cant be jamani....
  10. Joyum

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria atekwa, apigwa, aachwa porini

    Kama waliweza kwa Mwakyembe, mwandosya Mwaulimboka, .....watashindwa kwa mwaterezya!!! Haya tuna amani au utulivu!
  11. Joyum

    JamiiForums Tanzania Madaktari wenzangu: Only "Mass resignation" itawaamsha watawala!

    Umeongea vizuri sana, ila hiyo haiwezekani kwa mind set and courage ya Mtanzania. Ninachowashangaa nyie madr ni kimoja tu, kwanini unaanzisha kitu huwezi kukimaliza! hebu ona sasa ulimboka sijui Olimboka wa watu kaumizwa bure na rais wa mat ana kesi alafu wengine wamefukuzwa wengine...
  12. Joyum

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Jack Zoka yana utata!

    Itakuwa tu kulaani kwa moyo mmoja kwenye press conference na kusema huku JF kwa kutumia key board. that's what will happen exactly.....mark my words.
  13. Joyum

    JamiiForums Tanzania Walimu waanza mgomo.

    that's what i thought....
  14. Joyum

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

    hivi mwakiembe alifanya nini vile kufanyiwa vile? Unaweza kunikumbusha? ahaa aligoma kukubaliana na ufisadi na udhalimu. migomo sio mizuri kwakweli kwa taifa na kwa usalama wa mtu mmoja mmoja. nakubaliana na wewew mkuu.
  15. Joyum

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

    kwako wewe uliyekuwa unajua kwa uhakika walichokifanya na kuwajua wote, sio jipya mana mnajua hatafanywa lolote huyo msangi. kama vile mwakyembe alivyoonyesha kila kitu kabla lakini serikali haikufanya lolote.........
Back
Top Bottom