Tuwakimbilie wakati wamegoma? wewe unaakili kweli? Hao ni paka tu hawana maana yeyote.hivi wewe una umri gani?...mbona unaropoka matusi kwa watu usiowafahamu..ilihali ukibanwa hernia ndio utakaowakimbilia?...hao unaowaita paka ndio watakaomzalisha mkeo, ndio watakaomuongezea njia na kumshona mkeo..ndio watakaokutia kidole kuangalia kama tezi lako ndilo limezuia mkojo..
we endeleza matusi!!