Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

Mahakama imefurika sana watu tunamsubiri jaji bado hajaingia
 
Duh nchi hii kwa uzembe. sasa huyo Jaji mpaka muda huu anasubiri nini?Au wanaopaswa kuleta hapa hizi wanafanya uzembe?
 
Mimi sina mengi ila najifanyia hii hesabu
Bunge + mahakama + serikali=0
Naomba mnisahihishe kama nimekosea!
 
Back
Top Bottom